Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Aug 20, 2022 #101 Anahema kabla hajakimbia.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 20, 2022 #102 Jifunzeni kwa Hakainde Hichilema
Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,199 Reaction score 2,403 Aug 20, 2022 #103 Faraja ya nini kwani halipwi? Kama ni faraja wapewe walimu, manesi, madaktari, waandisi etc ambao wanafanya kazi kwa mishahara ambayo haikidhi hata mahitaji yao ya kila siku
Faraja ya nini kwani halipwi? Kama ni faraja wapewe walimu, manesi, madaktari, waandisi etc ambao wanafanya kazi kwa mishahara ambayo haikidhi hata mahitaji yao ya kila siku
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Aug 20, 2022 #104 Kipangaspecial said: Kaka mkubwa Teuzi umezikatia tamaa kabisaaaaa. Click to expand... Mkuu Kipangaspecial, mimi na teuzi, wapi na wapi?. P
Kipangaspecial said: Kaka mkubwa Teuzi umezikatia tamaa kabisaaaaa. Click to expand... Mkuu Kipangaspecial, mimi na teuzi, wapi na wapi?. P