Heshima haipatikani kwa kuweka sura kwenye noti bali kwa kuacha legacy inayoeleweka, mpaka sasa amefanya nini cha maana.
Kwani nchi ilifungwa ni kumjaza ujinga bila sababuAmefungua nchi
Mmeanza sifa za kupitiliza Kama KWA MWENDAZAKE , hacheni Tabia hii Mara mojaWadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasababu ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke pili utendaji wake ni wa kutukuka, tatu ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nane la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe. Napendekeza hivyo iwe kumbukumbu kwa mama yetu.
Mbona kuna vitu vingi vya kuchapa kama Mt Kilimanjaro, aandike tu kitabu kama wengine, tatizo Bongo mtubakishakuwa kiongozi atataka basi jina lake liandikwe kila mahali, hospitali, shule, barabara, madaraja kubwa, mtoa mada mimi napingana na wewe!Wadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasababu ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke pili utendaji wake ni wa kutukuka, tatu ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nane la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe. Napendekeza hivyo iwe kumbukumbu kwa mama yetu.
Unajisikiaje kuleta uhalo kama huu?Wadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasababu ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke pili utendaji wake ni wa kutukuka, tatu ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nane la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe. Napendekeza hivyo iwe kumbukumbu kwa mama yetu.
Mbona waliotaka kuandamana mwenda zake aongezewe muda sikuwaona mkipingakwa nguvu hizoUnajisikiaje kuleta uhalo kama huu?
Mtu anaalikwa kwenda kusalimiana na jilani anafika tu na kutia dole kwenye gesi zetu? Tena bila mwanasheria Wala waziri kuwepo?
Nimekuelewa ur very polite keep it up,ila mie ni mkorofi nimewawekea thermometer kwa waandamanaji wa atake asitake tunaongeza muda,maana walinyima raha nao waongee inakuwajeWazo zuri, BUT too soon tumwache afanye yaliyo ndani ya uwezo wake kwanza, after delivery of the promises she is giving and eventually her tenure ends ( hii minne au mitano zaidi if she wishes to continue) ndio tuje tuzungumze habari ya kuchapisha fedha...zoezi la kubadili shilingi sio jepesi, sura haiongezi nguvu ya sarafu bali uchumi imara, ifike wakati shillingi yetu iwe na denomination kubwa ya 1000 badala ya 10000 ..turudi kutumia shilingi 20,10 hata 5 kwa manunuzi, sarafu yetu kidogo iweze kununua dola,pauni, yen n.k, tukiweza kuboresha thamani ya uchumi tukauza nje zaidi kuliko kununua japo tukiweza tu kutumia 1000-1300 kwa dola 1 ya kimarekani hapo tutakuwa pazuri ila kwa sasa narudia tena TOO SOON kuchapisha fedha mpya, zenye sura ya mama, au hayati JPM au BWM au any of wastaafu tulio nao.
Kama nilivyochangia kwenye uzi wako unaowiana na huu