Wadau napendekeza Mheshimiwa wetu mpendwa Rais Samia Suluhu Hassan, Tuchape noti zenye sura yake kwasabab;-
- Ndiyo Rais wa kwanza Mwanamke.
- Utendaji wake ni wa kutukuka.
- Ana kazi kubwa ya kulikomboa taifa kutoka katika giza nene la chuki, unyanganyi, kupotezana kupigana risasi na ubabe.