Tumpe Moyo Rais Samia Suluhu, hakuna aliyewahi kupendwa kwenye suala la kodi

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Napenda nimpe moyo na nguvu ya kuendeleza kazi Rais Wetu mama Samia Suluhu,lakini pia naamini atakuwa amejifunza ndani ya siku hizi chache kuwa ni nani wazalendo wa kweli na ni nani ni chawa.

Wote hawa huwa hawakosekani na wote wanaleta afya ya uongozi. Nimepita magroup mbalimbali yakiwemo ya wanaCCM nimeona jinsi wanafiki wanavyojibadili kama kinyonga na wengine wakidiriki kujitokeza hadharani kukunawa yaani wanataka kuipotezea collective responsibility ili tu hili dhahma libaki kwako halafu baadae wacheke.

Kama mwana CCM kindakindaki sitafanya hivyo bali inanipasa kuwa loyal to the party and the Chairperson no matter what.

Wana CCM kwa ujumla wanapaswa kulibeba jambo hili na kulitetea...na wale wanaCDM a.k.a wademkaji au wazee wa kuushangilia mwingi ukipigwa wanapaswa kuendelea kumeza vidonge vichungu ili wote wapone.

Miaka ya Tisini na ushehe Hayati Rais Benjamin Mkapa alituondosha kwenye lalamiko kuu la kodi ya kichwa lililofanya vijana walale porini kukimbia mgambo.

Kipindi cha Mwinyi tuliteseka sana kulipa kodi ya basikeli a.k.a phoenix a.k.a mfupa. Hii ilikuwa ni kodi ya kipande na watu waliichukia sana.

Hatimaye Hayati Benjamin Mkapa akaachana na ukusanyaji kodi uliokosa utu na kuja na Taasisi ya kukusanya kodi TRA na pia akaja na VAT.

Kipindi hiko wapinzani wakiwa ni kina Augustino Mrema, Lipumba n.k Mkapa alishutumiwa sana hadi nchi ikasemekana ipo kwenye UKAPA yaani umasikini wa kutupwa.

Kimsingi kodi haijawahi kupendwa duniani kote lakini kodi ndio msingi wa userikali/ dola.

Bila shaka kodi hii haiwezi kupendwa hapa mwanzoni lakini kilicho mbele yako ni kuonesha umuhimu wa kodi hii kwa jamii.
Umuhimu wake uwe wa kipekee na sio kisanii.

Madarasa, Zahanati, Maji, Umeme wa REA, SGR, Nyerere HEPP, barabara zionekane ndani ya muda mfupi. Kwa kufanya hivyo tutarudi hapa hapa jamvini kukupongeza nikiwemo mimi na wale wanaojionesha uchawa wao sasa.

KAZI IENDELEE

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Wewe ungetumbuliwa huu UDC ungekuwa unamponda Sasa, in short hyo tozo ni za kiwendawazimu. Dah Mimi narudi Zangu bank tu, mpesa naweka Hela ya kuunga bundle kutuma sidhubutu maana ccm majizi yataiba
Mbona umenipa cheo kikubwa hivyo?
 
Napenda nimpe moyo na nguvu ya kuendeleza kazi Rais Wetu mama Samia Suluhu,lakini pia naamini atakuwa amejifunza ndani ya siku hizi chache kuwa ni nani wazalendo wa kweli na ni nani ni chawa.
Wote hawa huwa hawakosekani na wote wanaleta afya ya uongozi.
Nimepita magroup mbalimbali yakiwemo ya wanaCCM nimeona jinsi wanafiki wanavyojibadili kama kinyonga na wengine wakidiriki kujitokeza hadharani kukunawa yaani wanataka kuipotezea collective responsibility ili tu hili dhahma libaki kwako halafu baadae wacheke.

Kipindi cha Mwinyi tuliteseka sana kulipa kodi ya basikeli a.k.a phoenix a.k.a mfupa.
hii ilikuwa ni kodi ya kipande na watu waliichukia sana.
Hatimaye Hayati Benjamin Mkapa akaachana na ukusanyaji kodi uliokosa utu na kuja na Taasisi ya kukusanya kodi TRA na pia akaja na VAT.
Kipindi hiko wapinzani wakiwa ni kina Augustino Mrema ,Lipumba n.k Mlapa alishitumiwa sana hadi nchi ikasemekana ipo kwenye UKAPA yaani umasikini wa kutupwa.

Kimsingi kodi haijawahi kupendwa duniani kote lakini kodi ndio msingi wa userikali/dola.

Bila shaka kodi hii haiwezi kupendwa hapa mwanzoni lakini kilicho mbele yako ni kuonesha umuhimu wa kodi hii kwa jamii.
Umuhimu wake uwe wa kipekee na sio kisanii.
Madarasa,Zahanati,Maji,Umeme wa REA,SGR,Nyerere HEPP ,barabara zionekane ndani ya muda mfupi.
Kwa kufanya hivyo tutarudi hapa hapa jamvini kukupongeza nikiwemo mimi na wale wanaojionesha uchawa wao sasa.

#KAZI IENDELEE

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Tanzania itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno.
 
Kumpa moyo MTU manake nini?,
 
Wewe ungetumbuliwa huu UDC ungekuwa unamponda Sasa, in short hyo tozo ni za kiwendawazimu. Dah Mimi narudi Zangu bank tu, mpesa naweka Hela ya kuunga bundle kutuma sidhubutu maana ccm majizi yataiba
Za kijinga sn
 
Suala la kodi halikwepeki, tunaweza kuanzisha mijadala ya wingi wa pesa wanazolipwa wabunge lakini umuhimu wa kodi kwa mipango yetu hauwezi kuahirishwa.

Huu ni wakati wa kujitegemea kwa maana halisi. Waliozoea kutupatia pesa za bajeti zetu kwa sasa wanayo majanga yao makubwa, wamekumbwa na mafuriko na shida nyingine zenye kuwaumiza.

Tuvumilie tu hii kodi ingawa kiukweli watu wa mpesa, airtel money na tigopesa ni jeshi kubwa ambalo linakwenda kupitia wakati mgumu.
 
Pathetic! Kodi tunakatwa, hichi kilichoanza juzi ni wizi wa mchana. Si kodi
 
Endelea kulialia mkuu, wenyewe wenye mamlaka wanaikusanya na itakwenda kufanya mambo ya maana.

Pingapinga hamjaanza leo wala jana, siku zote mnakuja na mawazo ya kufeli lakini suala likifanikiwa mnakuwa ni wafaidikaji wa kimya kimya.
 
Napenda nimpe moyo na nguvu ya kuendeleza kazi Rais Wetu mama Samia Suluhu,lakini pia naamini atakuwa amejifunza ndani ya siku hizi chache kuwa ni nani wazalendo wa kweli na ni nani ni chawa.

Wote hawa huwa hawakosekani na wote wanaleta afya ya uongozi. Nimepita magroup mbalimbali yakiwemo ya wanaCCM nimeona jinsi wanafiki wanavyojibadili kama kinyonga na wengine wakidiriki kujitokeza hadharani kukunawa yaani wanataka kuipotezea collective responsibility ili tu hili dhahma libaki kwako halafu baadae wacheke.

Kama mwana CCM kindakindaki sitafanya hivyo bali inanipasa kuwa loyal to the party and the Chairperson no matter what.

Wana CCM kwa ujumla wanapaswa kulibeba jambo hili na kulitetea...na wale wanaCDM a.k.a wademkaji au wazee wa kuushangilia mwingi ukipigwa wanapaswa kuendelea kumeza vidonge vichungu ili wote wapone.

Miaka ya Tisini na ushehe Hayati Rais Benjamin Mkapa alituondosha kwenye lalamiko kuu la kodi ya kichwa lililofanya vijana walale porini kukimbia mgambo.

Kipindi cha Mwinyi tuliteseka sana kulipa kodi ya basikeli a.k.a phoenix a.k.a mfupa. Hii ilikuwa ni kodi ya kipande na watu waliichukia sana.

Hatimaye Hayati Benjamin Mkapa akaachana na ukusanyaji kodi uliokosa utu na kuja na Taasisi ya kukusanya kodi TRA na pia akaja na VAT.

Kipindi hiko wapinzani wakiwa ni kina Augustino Mrema, Lipumba n.k Mkapa alishutumiwa sana hadi nchi ikasemekana ipo kwenye UKAPA yaani umasikini wa kutupwa.

Kimsingi kodi haijawahi kupendwa duniani kote lakini kodi ndio msingi wa userikali/ dola.

Bila shaka kodi hii haiwezi kupendwa hapa mwanzoni lakini kilicho mbele yako ni kuonesha umuhimu wa kodi hii kwa jamii.
Umuhimu wake uwe wa kipekee na sio kisanii.

Madarasa, Zahanati, Maji, Umeme wa REA, SGR, Nyerere HEPP, barabara zionekane ndani ya muda mfupi. Kwa kufanya hivyo tutarudi hapa hapa jamvini kukupongeza nikiwemo mimi na wale wanaojionesha uchawa wao sasa.

KAZI IENDELEE

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mama amekuta hazina kweupe, mwendazake amesafisha kila kitu
1626513899269.png
 
Mkuu Kuna kitu kinaitwa Constructive criticism.

Hiyo inaruhusiwa na ni muhimu sana.

Hata wakati wa Magufuli nilifanya hivyo na pia Sasa nafanya hivyo.
 
Mkuu umerudi jukwaani tena? Maana uliaga kabisa kabla ya uchaguzi, au upo lakini unatumia ile Id yako nyingine?
 
Back
Top Bottom