Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Nipo mkuu Nina ID Moja tu kamanda.Mkuu umerudi jukwaani tena? Maana uliaga kabisa kabla ya uchaguzi, au upo lakini unatumia ile Id yako nyingine?
Nipo mkuu Nina ID Moja tu kamanda.Mkuu umerudi jukwaani tena? Maana uliaga kabisa kabla ya uchaguzi, au upo lakini unatumia ile Id yako nyingine?
Mmmhh!Nipo mkuu Nina ID Moja tu kamanda.
We kodi za bongo sio za Dunia hii, mfanoNapenda nimpe moyo na nguvu ya kuendeleza kazi Rais Wetu mama Samia Suluhu,lakini pia naamini atakuwa amejifunza ndani ya siku hizi chache kuwa ni nani wazalendo wa kweli na ni nani ni chawa.
Wote hawa huwa hawakosekani na wote wanaleta afya ya uongozi. Nimepita magroup mbalimbali yakiwemo ya wanaCCM nimeona jinsi wanafiki wanavyojibadili kama kinyonga na wengine wakidiriki kujitokeza hadharani kukunawa yaani wanataka kuipotezea collective responsibility ili tu hili dhahma libaki kwako halafu baadae wacheke.
Kama mwana CCM kindakindaki sitafanya hivyo bali inanipasa kuwa loyal to the party and the Chairperson no matter what.
Wana CCM kwa ujumla wanapaswa kulibeba jambo hili na kulitetea...na wale wanaCDM a.k.a wademkaji au wazee wa kuushangilia mwingi ukipigwa wanapaswa kuendelea kumeza vidonge vichungu ili wote wapone.
Miaka ya Tisini na ushehe Hayati Rais Benjamin Mkapa alituondosha kwenye lalamiko kuu la kodi ya kichwa lililofanya vijana walale porini kukimbia mgambo.
Kipindi cha Mwinyi tuliteseka sana kulipa kodi ya basikeli a.k.a phoenix a.k.a mfupa. Hii ilikuwa ni kodi ya kipande na watu waliichukia sana.
Hatimaye Hayati Benjamin Mkapa akaachana na ukusanyaji kodi uliokosa utu na kuja na Taasisi ya kukusanya kodi TRA na pia akaja na VAT.
Kipindi hiko wapinzani wakiwa ni kina Augustino Mrema, Lipumba n.k Mkapa alishutumiwa sana hadi nchi ikasemekana ipo kwenye UKAPA yaani umasikini wa kutupwa.
Kimsingi kodi haijawahi kupendwa duniani kote lakini kodi ndio msingi wa userikali/ dola.
Bila shaka kodi hii haiwezi kupendwa hapa mwanzoni lakini kilicho mbele yako ni kuonesha umuhimu wa kodi hii kwa jamii.
Umuhimu wake uwe wa kipekee na sio kisanii.
Madarasa, Zahanati, Maji, Umeme wa REA, SGR, Nyerere HEPP, barabara zionekane ndani ya muda mfupi. Kwa kufanya hivyo tutarudi hapa hapa jamvini kukupongeza nikiwemo mimi na wale wanaojionesha uchawa wao sasa.
KAZI IENDELEE
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
unaeleweka.Mkuu Kuna kitu kinaitwa Constructive criticism.
Hiyo inaruhusiwa na ni muhimu sana.
Hata wakati wa Magufuli nilifanya hivyo na pia Sasa nafanya hivyo.
Wacha wapitie wakati mgumu ili wapate hasira ya kumkimbiza mkoloni mweusi.Suala la kodi halikwepeki, tunaweza kuanzisha mijadala ya wingi wa pesa wanazolipwa wabunge lakini umuhimu wa kodi kwa mipango yetu hauwezi kuahirishwa.
Huu ni wakati wa kujitegemea kwa maana halisi. Waliozoea kutupatia pesa za bajeti zetu kwa sasa wanayo majanga yao makubwa, wamekumbwa na mafuriko na shida nyingine zenye kuwaumiza.
Tuvumilie tu hii kodi ingawa kiukweli watu wa mpesa, airtel money na tigopesa ni jeshi kubwa ambalo linakwenda kupitia wakati mgumu.
Huku kwetu ukijaribu kushika shati unaonekana sio mzalendo, mpinga maendeleoAfadhali huko kwingine wanashikana mashati, Tanzania watu wamefanywa wajinga.
Ni kujazana ujinga tu.Huku kwetu ukijaribu kushika shati unaonekana sio mzalendo, mpinga maendeleo
Hahahahahahah malipo yote ya wabunge yapitishiwe kwenye mtandao husika wa simu😅Posho za wabunge nashauri zilipwe kwa m,pesa. Uzalendo uanze na wakubwa. Akipewa 300k akatoa 280k anapata akili
Hii Sarafu ina Alama ya nani?Basi mpe Mungu yaliyo ya Mungu na kaisari yaliyo ya Kaisarivimeandikwa kwenyevvitabu vya dini.Napenda nimpe moyo na nguvu ya kuendeleza kazi Rais Wetu mama Samia Suluhu,lakini pia naamini atakuwa amejifunza ndani ya siku hizi chache kuwa ni nani wazalendo wa kweli na ni nani ni chawa.
Wote hawa huwa hawakosekani na wote wanaleta afya ya uongozi. Nimepita magroup mbalimbali yakiwemo ya wanaCCM nimeona jinsi wanafiki wanavyojibadili kama kinyonga na wengine wakidiriki kujitokeza hadharani kukunawa yaani wanataka kuipotezea collective responsibility ili tu hili dhahma libaki kwako halafu baadae wacheke.
Kama mwana CCM kindakindaki sitafanya hivyo bali inanipasa kuwa loyal to the party and the Chairperson no matter what.
Wana CCM kwa ujumla wanapaswa kulibeba jambo hili na kulitetea...na wale wanaCDM a.k.a wademkaji au wazee wa kuushangilia mwingi ukipigwa wanapaswa kuendelea kumeza vidonge vichungu ili wote wapone.
Miaka ya Tisini na ushehe Hayati Rais Benjamin Mkapa alituondosha kwenye lalamiko kuu la kodi ya kichwa lililofanya vijana walale porini kukimbia mgambo.
Kipindi cha Mwinyi tuliteseka sana kulipa kodi ya basikeli a.k.a phoenix a.k.a mfupa. Hii ilikuwa ni kodi ya kipande na watu waliichukia sana.
Hatimaye Hayati Benjamin Mkapa akaachana na ukusanyaji kodi uliokosa utu na kuja na Taasisi ya kukusanya kodi TRA na pia akaja na VAT.
Kipindi hiko wapinzani wakiwa ni kina Augustino Mrema, Lipumba n.k Mkapa alishutumiwa sana hadi nchi ikasemekana ipo kwenye UKAPA yaani umasikini wa kutupwa.
Kimsingi kodi haijawahi kupendwa duniani kote lakini kodi ndio msingi wa userikali/ dola.
Bila shaka kodi hii haiwezi kupendwa hapa mwanzoni lakini kilicho mbele yako ni kuonesha umuhimu wa kodi hii kwa jamii.
Umuhimu wake uwe wa kipekee na sio kisanii.
Madarasa, Zahanati, Maji, Umeme wa REA, SGR, Nyerere HEPP, barabara zionekane ndani ya muda mfupi. Kwa kufanya hivyo tutarudi hapa hapa jamvini kukupongeza nikiwemo mimi na wale wanaojionesha uchawa wao sasa.
KAZI IENDELEE
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Niliwahi kupost hii na ninaendelea kutembea nayo sababu naamini utawawa/ufalme/urais sio kazi nyepesi na ni uwakilishi wa taifa kwa Mungu. Kwa kujifunza toka wafalme waliotangulia kama kina Nebukadreza, Sauli, Daudi, Farao na weninge wengi sisi tuendeleenkuiombea nchi yetu huku tukifanya majukumu yetu kwa ukamilifu na uaminifu
Tunaambiwa bwana asipoulinda mji waulindao wanafanya kazi bure
Pitia uzi huu dadaangu hatuna chelewa bado:
Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?
Anasema bwana wa majeshi kwa kumtumaini yeye vitani, kijana mdogo David, alilishinda kitu la miraba 8, Goliath.
Nakuelewa sana brazaj
Hata wakati wa mfalme Nebukadreza watu wake walipanga mengi juu ya kuwaangamiza vijana watatu waliomtumikia Mungu wa kweli; lakini vijana wale ndio waliokuja kuwa msaada kwa mfalme. Kwa kutafsiri ndoto zake na kupona kwenye vifo walivyopangiwa mfalme aliweza kujua ashike lipi ili afanikiwe.
Soma Daniel 2:1-49
Tusitumie nguvu
Tuombe katika uaminifu na tukishaomba tuwe na subira
Asante kwa kunielewa dadaangu. Hatuna nia mbaya. Yetu ni ya amani.
Hatutabeba silaha.
Umoja wetu unatosha sana kufanikisha maridhiano mema kwa njia za amani.