Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho.
Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani.
Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo ya uwekezaji kwa namna yoyote ile ,anafanya kila namna kuhakikisha anatimiza mipango na kuleta Maendeleo.
Kwa kifupi tupunguze kosoa kosoa na kupongeza sana maana bado mapema. Tuache watu wafanye kazi na tusisahau siasa ni siasa tu hivyo tufanye kazi.