Tumpe siku ngapi za kufukuzwa kocha mpya wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari Wana JF

Kama title inavyojieleza hapo, kutokana na ugumu wa NBC league ilivyo Kwa makocha wengi especially wa Simba kushindwa kutoboa/ kupata mafanikio kama inavyotarajiwa.

Binafsi kocha wa Simba Nampa miezi miwili tu [emoji1] [emoji1] Baada ya hapo atafukuzwa

Je! una mpa siku ngapi za kocha wa Simba Kufukuzwa
 
Kwa taarifa yako Simba haijawahi kufukuza kocha kwa zaidi ya misimu 5 kwa kuzingatia matokeo ya Ligi bali huzingatia zaidi michuano ya Kimataifa
 
Sawa nawewe tukupe siku ngapi ya kushoot video na ali kamwe mkicheza uchi na kumpa unga msukule kambole hapo kwenye kambi ya wacheza uchi?
Hapana mkuu.... let's stick on topic/ ....unampa mda Gani kocha wa simba
 
Kwa taarifa yako Simba haijawahi kufukuza kocha kwa zaidi ya misimu 5 kwa kuzingatia matokeo ya Ligi bali huzingatia zaidi michuano ya Kimataifa
Michuano ya kimataifa soon itaanza..
 
Hatma ya kocha mpya wa Simba IPO mikononi mwa Fiston Kalala Mayele na Stephano Aziz Ki kwenye kariakoo Derby.
 
Kwa aina ya timu aliyokubali kuifundisha; akitoboa huu mwaka wa 2023, ashukuru.

This is January! Akifika Disemba, atakuwa amevumilia mengi sana. Labda ashinikize kuwa na benchi lake la ufundi, halafu watu kama akina Matola wakatafute changamoto sehemu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…