Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ila watu wetu wa Simba wana raha jamani yani kuanziq mashabiki mpk benchi la ufundi hatuna stress 😆 😆 😆Papaa Mgunda akiomba radhi kuhusina na alichoongea kubakiza mechi 2 kwenye mashindano ya Mapunduzi!
View attachment 2470698