Tumpe siku ngapi za kufukuzwa kocha mpya wa Simba

Atakula club bingwa ndugu yangu,? Alipata sehem yenye ugali mkubwa.
Fuatilia vyema mazungumzo uelewe. Jamaa aliuzliza kwanini Zoran alitimuliwa ndio nikawa namueleza hakufukuzwa ila alipata timu yenye maslahi zaidi.
 
Yule ni mvivu aliona aache timu inayoshiriki klabu bingwa akafundishe timu ya daraja la kati. Aliona kwa uwezo wake hawezi kutimiza masharti ya mkataba wa Simba hata chembe.
Teh teh .....aliwaletea na mzungu
 
Kabisa mkuu....na kile kikosi Cha wazee...sujui itakuaje
 
Tarehe 9/4/2023 anabebeshwa virago vyako Niko paleee nimetulia
 
Tumeingia mkenge kwa huyu kocha, afadhali Mgunda angeacgwa amalizie msimu wa ligi.

Huyu ataleta msururu wa majina ya wachezaji anaowataka na asipopatiwa timu ikafanya vibaya atajitetea nilihitaji hawa wachezaji hamkunipatia.

Kumbe kocha mwenyewe kafundisha mpaka Gor Mahia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…