ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nipe namba yake ya simu niongee naye mwenyewe kwa kina zaidi kuhusu matatizo yake.....
Miaka 10 nyuma ni mwaka 2004. Mwaka mmoja aliosoma ni 2003. Form two aliacha mwaka 2002.
'Anayetoa na anayepokeaRUSHWA wote wanafanya makosa''
Ni gum sana kupata kazi serikalini saiv mkuu kama hana 4m4, angesoma afanye paper la 4m4 division yeyote ile ispokua zero japo kwenye kuendelea na shule akiwa kazini atatakiwa kua angalau D flat kwa masomo yote ya sayansi na English.Ila akifaulu 4m4 division yeyote yenye kumwezesha kupata chet ni simple kupata kazi serikalini.Huo ndo uhalisia mkuu!
Nilimwambia hivyooo kaka sasa tukawa tunahisi labda mature nn sijui inaweza tumika kwa walio fanya kazi mda mrefuu