ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nimekutana na dada mmoja leo akaniomba ushauri lakini mm nilishindwa kumpa ushauri kwa mara moja nikamwambia nitafuatiria nitakwambia nn cha kufanya
Ipo hivi yeye alisoma mpaka form two baada ya hapo kwa miaka hiyo aliweza kusoma nursing ya mwaka mmoja na kupata grade C alipo toka hapo aka ajiriwa na akaweza kufanya kazi kwa muda wa miaka 10 sasa ametafuta kazi serikalini ikashindikana coz kuna mda alitakiwa kulipa milion 1.7 ili ajiriwe lakin ameshindwa hela hiyo sasa alicho kuwa anaomba elimu hiyo nn afanye aweze kuendelea mbele au
je afanye vipi ili ajiriwe serikalini msaada tafadhari kama kuna uwezo wa kuendelea kusoma ni njia gani zitumike