Tumpe ushauri na tumsaidie pia

Tumpe ushauri na tumsaidie pia

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Nimekutana na dada mmoja leo akaniomba ushauri lakini mm nilishindwa kumpa ushauri kwa mara moja nikamwambia nitafuatiria nitakwambia nn cha kufanya

Ipo hivi yeye alisoma mpaka form two baada ya hapo kwa miaka hiyo aliweza kusoma nursing ya mwaka mmoja na kupata grade C alipo toka hapo aka ajiriwa na akaweza kufanya kazi kwa muda wa miaka 10 sasa ametafuta kazi serikalini ikashindikana coz kuna mda alitakiwa kulipa milion 1.7 ili ajiriwe lakin ameshindwa hela hiyo sasa alicho kuwa anaomba elimu hiyo nn afanye aweze kuendelea mbele au

je afanye vipi ili ajiriwe serikalini msaada tafadhari kama kuna uwezo wa kuendelea kusoma ni njia gani zitumike
 
Miaka 10 nyuma ni mwaka 2004. Mwaka mmoja aliosoma ni 2003. Form two aliacha mwaka 2002.
 
Nipe namba yake ya simu niongee naye mwenyewe kwa kina zaidi kuhusu matatizo yake.....
 
Ni gum sana kupata kazi serikalini saiv mkuu kama hana 4m4, angesoma afanye paper la 4m4 division yeyote ile ispokua zero japo kwenye kuendelea na shule akiwa kazini atatakiwa kua angalau D flat kwa masomo yote ya sayansi na English.

Ila akifaulu 4m4 division yeyote yenye kumwezesha kupata chet ni simple kupata kazi serikalini.Huo ndo uhalisia mkuu!
 
Ni gum sana kupata kazi serikalini saiv mkuu kama hana 4m4, angesoma afanye paper la 4m4 division yeyote ile ispokua zero japo kwenye kuendelea na shule akiwa kazini atatakiwa kua angalau D flat kwa masomo yote ya sayansi na English.Ila akifaulu 4m4 division yeyote yenye kumwezesha kupata chet ni simple kupata kazi serikalini.Huo ndo uhalisia mkuu!

Nilimwambia hivyooo kaka sasa tukawa tunahisi labda mature nn sijui inaweza tumika kwa walio fanya kazi mda mrefuu
 
Nilimwambia hivyooo kaka sasa tukawa tunahisi labda mature nn sijui inaweza tumika kwa walio fanya kazi mda mrefuu

Muda mrefu kazin sio issue! Yeye njia pekee ni kufanya mtihan wa 4m4 pekee.Asiwe mvivu wa kusoma kama kweli anayasaka maisha.Serikalini chance zipo kibao na atapata kiuhalali akiqualify.
 
Back
Top Bottom