Lady doctor nampigia kura yangu ya ndio
JF huweza kufunguliwa katika mitindo minne tofauti.
1. JF Desktop View- Hii ni default kwa watumiaji wa kompyuta na hufunga kama website nyingi tu zifungukavyo ikionesha features zote.
2. JF Mobile
3. JF Touch/JF Mobile Edition
4. JF Application
2 hadi 4 ni versions za JF kwa watumiaji wa simu na baadhi ya features huwa zimetolewa katika mionekano hiyo.
Ukifungua JF katika mionekano 2 hadi 4 hautaweza kupiga kura, ili uweze kupiga kura ni shurti uwe kwenye mtindo nambari moja(Desktop View).
Ili kufikia Desktop View fanya hivi:
Ukiwa unatumia JF Mobile kama inavyonekana hapo chini, upande wa kulia juu kuna maandishi "Touch" na "Log Out",
Bofya hayo maandishi yaliyoandikwa "Touch" ili uende katika version nyingine ya "JF Mobile Edition".
Baada ya hapo ukiwa katika version ya JF Mobile Edition kama inavyoonekana hapa chini, scroll hadi chini kabisa ya page na utaweza kuona maandishi, "Log Out", "Full Site", "WapSite" na "Top".
Bofya maandishi "Full Site" na baada ya muda muonekano wa JF utabadilika na kuwa kama ule default kama ambavyio kompyuta iufunguavyo.
Sasa ukiwa katika "JF Desktop View", fungua sredi hii ya walimbwende wa Miss Chitchat na ukiwa katika sredi hii juu kidogo ya title utaona kuna "Poll" ambapo hapo ndio mahali pa kupiga kura yako.
Pembeni ya majina ya washiriki kuna vitufe vya duara, chagua kitufe cha kwanza ambapo ndio jina la Lady doctor, baada ya kuchagua jinale...chini kidogo baada ya majina ya washindani kuna kitufe kingine chenye maandishi "Vote"...bofya hicho kitufe kupiga kura yako.
Ukifanikiwa kupiga kura yako kutakuwa na maandishi kuwa tayari umepiga kura katika poll hii...