Tumpongeze Rais Samia kwa hili la Ndugai, Spika aliyejiuzulu

Mtu wa namna gani wewe usiyeweza kuona tofauti ya kosa na haki za awaye yote?

Kumbe Ndugai angeweza kufurushwa hata kwa sababu ya kwenda kujisaidia chooni tu ila kwa sababu alikuwa na makosa mengine basi ndiyo kimeumana?

Uitwe jina gani wewe lenye kukupa utambulisho kamili?

Nchi huongozwa kwa mujibu wa sheria.

Siyo kwa mihemko, kununa, chuki, visasi, hasira wala vya namna hiyo.

..Maza ya fever ya 2025.

..Nadhani anatamani apite bila kupingwa.
 
..Ndugai alipaswa kufukuzwa au kulazimishwa kujiuzulu kwa kutumia madaraka yake ya Uspika vibaya.

..Kuwa na maoni au msimamo tofauti kuhusu mikopo sio kosa la kumfukuzisha kazi Spika wa bunge.

..Mama amemshambulia Spika kwa kusikiliza clip ambayo imekatwa. Angesikiliza clip nzima / original asingepandwa na hasira nam

Mtu wa namna gani wewe usiyeweza kuona tofauti ya kosa na haki za awaye yote?

Kumbe Ndugai angeweza kufurushwa hata kwa sababu ya kwenda kujisaidia chooni tu ila kwa sababu alikuwa na makosa mengine basi ndiyo kimeumana?

Uitwe jina gani wewe lenye kukupa utambulisho kamili?

Nchi huongozwa kwa mujibu wa sheria.

Siyo kwa mihemko, kununa, chuki, visasi, hasira wala vya namna
Mimi sikatai unachokiona wewe kumbe sheria na kanuni kwake zifuatwe Ila wakati yeye anaumiliki umhe spika kuvunja sheria taratibu na kanuni ilikuwa sawa na haki tu?.Yeye sheria na kanuni kutofuatwa imekuwa tatizo ? Mara ngapi alileta askari ndani ya Bunge kuwadhalilisha wabunge wa Upinzani utazani sio Watanzania?wenzetu.
Kifupi huyu alikuwa spika wa hovyo kuwahi kutokea katika aridhi ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika ambaye hakuwa na chembe hata ya ubinadamu ndani yake Ni spika ambaye alikubali bunge kupitisha sheria kandamizi na za dhuluma kama zile za board ya mikopo? (HSLB) ambazo Mama kazifutilia mbali?
Ni huyu huyu spika aliyemvua mtu Ubunge na kukataa kutoa fedha za kumtibisha ambazo ni haki yake tena aliyemshuhudunia kwa macho yake kuwa ameumizwa vibaya na kupona kwake ni miujuza ya Mungu tu halfu anasimama mbele za watu anasema alienda kudhulula Ulaya.
In short Mungu hazihakiwi na huwa anajibu kwa wakati wake. Nimekubali Mimi Chawa lkn kwa hili la mhe spika, kwangu Mimi Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania amenikosha.Kiburi chote cha Farao kwishinei.
 
Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri.

Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani binadamu tunasirika ya kujisahau sana pindi tinapokuwa na madaraka fulani. Watanzania wenzangu mtaniwia radhi ikiwa nitawakosea au kuwakwaza lakini ukweli nitausema.

Mwenzetu alifikia mahali akajisahau kabisa kuwa yeye ni binadamu kama wengine. Huyu ni kati ya maspika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu maana alitumia vibaya madaraka yake ya uspika angekwa nchi zilizo endelea alipaswa kushitakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka, sema yuko Africa tena Africa yenyewe Tanzania.

Kwa bahati mbaya amepata watetezi wanaomuonea huruma wamesahau mara hii jeuri yake na kiburi akiwa na madaraka ndani na nje ya bunge huku akitumia vibaya kabisa madaraka yake ya uspika. Siwalaumu sana watetezi wake maana ni haki yao kikatiba lakini wanapaswa kupima mema aliyotenda na mabaya aliyotenda akiwa kama spika kabla ya kumtetea na kumuonea huruma.

Nihitimishe kwa kumpongeza mhe Rais SSH kwa zawadi hii ya mwaka mpya 2022, tumuombee kwa Mungu amzidishie hekima na busara za kuliongoza taifa letu.
Afumue haraka cabinet,huwezi kuwa na machawa na wachawi Serikalini.Hongera zake.
 
"Spika kafurushwa kwa kutoa maoni yake."

Mengine yote uliyoandika hayahusiani na hili au vipi?
 
Umenikumbusha mbali mkuu Black sniper halfu kuna watu wamesahau yote haya ama kweli sisi watanzania tunasahau sana

Alikuwa na maneno ya kuudhi sana na vijembie
Sasa leo wanasema eti mama kamsuta
Hatujui yaliyokuwa ynaendelea na kwanini Rais amekasirika hivyo ila inaonekana tu kuwa simu zake zimefukiliwa akitukana halafu anakuja na crocodile tears [emoji24]

Mzee 6 yeye alikuwa anawatumia wabunge huyu akajisahau
 
Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri.

Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani binadamu tunasirika ya kujisahau sana pindi tinapokuwa na madaraka fulani. Watanzania wenzangu mtaniwia radhi ikiwa nitawakosea au kuwakwaza lakini ukweli nitausema.

Mwenzetu alifikia mahali akajisahau kabisa kuwa yeye ni binadamu kama wengine. Huyu ni kati ya maspika wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu maana alitumia vibaya madaraka yake ya uspika angekwa nchi zilizo endelea alipaswa kushitakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka, sema yuko Africa tena Africa yenyewe Tanzania.

Kwa bahati mbaya amepata watetezi wanaomuonea huruma wamesahau mara hii jeuri yake na kiburi akiwa na madaraka ndani na nje ya bunge huku akitumia vibaya kabisa madaraka yake ya uspika. Siwalaumu sana watetezi wake maana ni haki yao kikatiba lakini wanapaswa kupima mema aliyotenda na mabaya aliyotenda akiwa kama spika kabla ya kumtetea na kumuonea huruma.

Nihitimishe kwa kumpongeza mhe Rais SSH kwa zawadi hii ya mwaka mpya 2022, tumuombee kwa Mungu amzidishie hekima na busara za kuliongoza taifa letu.
Nyie CCM KAZI yenu nikupongeze tu,Hamnaga ya kufanya mengine
 
Mama lazima apongezwe kwa sababu hapo kabla hakuna aloweza kufikiria hatua za kuweza kumtoa ndugai kama spika pale bungeni kirahisi rahisi ili aachie ule muhimili ulioyumba muda mrefu
 
Nimeshangaa sana kuona watanzania leo hii wanamuona huyu Ndugai ni wa kuhurumiwa (Ati uhuru wa maoni).
Turudi nyuma kidogo tujikumbushe jinsi Job Ndugai alivyowadhalilisha akina Prof.Assad and the like kwa the same point of view (Ya uhuru wa maoni tena wao walitoa constructive opinions) lakini aliwabagaza na kuwafedhehesha kadri alivyoona inampendeza.

Huyu tumuache nae aonje kikombe alichozowea kuwanyweshea wenzake.Na itapendeza kama atafunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya madaraka ili wengine wajifunze kutoka kwake.
 
Mimi sikatai unachokiona wewe kumbe sheria na kanuni kwake zifuatwe Ila wakati yeye anaumiliki umhe spika kuvunja sheria taratibu na kanuni ilikuwa sawa na haki tu?.Yeye sheria na kanuni kutofuatwa imekuwa tatizo ? Mara ngapi alileta askari ndani ya Bunge kuwadhalilisha wabunge wa Upinzani utazani sio Watanzania?wenzetu.
Kifupi huyu alikuwa spika wa hovyo kuwahi kutokea katika aridhi ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Spika ambaye hakuwa na chembe hata ya ubinadamu ndani yake Ni spika ambaye alikubali bunge kupitisha sheria kandamizi na za dhuluma kama zile za board ya mikopo? (HSLB) ambazo Mama kazifutilia mbali?
Ni huyu huyu spika aliyemvua mtu Ubunge na kukataa kutoa fedha za kumtibisha ambazo ni haki yake tena aliyemshuhudunia kwa macho yake kuwa ameumizwa vibaya na kupona kwake ni miujuza ya Mungu tu halfu anasimama mbele za watu anasema alienda kudhulula Ulaya.
In short Mungu hazihakiwi na huwa anajibu kwa wakati wake. Nimekubali Mimi Chawa lkn kwa hili la mhe spika, kwangu Mimi Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania amenikosha.Kiburi chote cha Farao kwishinei.

..amefukuzwa kwasababu Mama amesikiliza majungu akaamini kuwa Ndugai amempinga.

..Mama hakuona tatizo lolote wakati Ndugai akitumia madaraka yake ya Uspika vibaya.

..Mama na wana CCM wenzake waliridhika Ndugai alipoapisha wabunge wasio na chama.

..CCM hawajali nchi, wanajali Mwenyekiti wao na chama chao.
 
Nimeshangaa sana kuona watanzania leo hii wanamuona huyu Ndugai ni wa kuhurumiwa (Ati uhuru wa maoni).
Turudi nyuma kidogo tujikumbushe jinsi Job Ndugai alivyowadhalilisha akina Prof.Assad and the like kwa the same point of view (Ya uhuru wa maoni tena wao walitoa constructive opinions) lakini aliwabagaza na kuwafedhehesha kadri alivyoona inampendeza.

Huyu tumuache nae aonje kikombe alichozowea kuwanyweshea wenzake.Na itapendeza kama atafunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya madaraka ili wengine wajifunze kutoka kwake.

..Mama hajamfukuza Ndugai kwasababu amesikia malalamiko ya Watz dhidi ya Ndugai.
 
Umeongea hisia zaidi kuliko uhalisia. Au pengine hujui kitu ,Rais hapaswi kuingilia mhimili mwingine bunhe ni mhimili mwingine sawa na mahakama so kisheria rais kakosea sana
Kwani kashikiwa bunduki?

Si amejiuzulu kwa hiari yake kama alivyoandika mwenyewe na kuanguka
juu kama saini la gavana.
 
Back
Top Bottom