Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika Mashariki.
Kwa dhati nampongeza waziri Bashe kwa kusimamia hili kwa mafanikio makubwa.
Jambo la kushauri hapa ni kwamba. Mtaala wa kilimo na biashara unaanzia ngazi gani katika shule zetu? Je tutegemee vijana hawa waendelee kutumia uzoefu wa kilimo cha jembe na kusubiria mbolea na mvua au wanaingia shambani wakiwa equiped na elimu ya kilimo chenye tija?
Je, fursa hii kwa nini vijana pekee, watu wazima wana nafasi gani nchi hii? Kwa sababu kila program ni wanawake na vijana mnasahau kwamba kuna watu wenye nguvu, ari na nia ya kuwekeza kwenye fursa mbalimbali lakini mmeamua kuwatenga wanaume kwa sababu gani haswa?
Tano na kaditama
Watanzania wana ratizo la mfumuko wa bei na ukandamizwaji pamoja na kupuuzwa kwenye miradi na mipango ya serikali. Kuna participatory na engagement. Hayo mambo yanahitaji akili.