Uchaguzi 2020 Tumrudishe Magufuli Chato

Nadhani wakati tunaboresha maendeleo ya nchi yetu pia kuna haja ya kuboresha sheria za nchi

[emoji870]tena kwa John Pombe Joseph Magufuli [emoji106]
Ameshindwa kuongoza nchi kwa sheria, haki na usawa. Watanzania tumeteseka sana kwa miaka yake mitano ya kwanza, sasa basi kesho twendeni tukapige kura ya kukataa dhuluma na uongozi wa kibabe katika nchi yetu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Freemason wa Ubelgiji hapati kitu Tanzania hayo mambo wakayafanye huko kwao Ubelgiji Hatutaki na Mungu hapendi na kama wewe ni kijana wa Tanzania fanya kazi sio kukaa kwenye keyboard unabadilisha ID na ukadhani maisha yapo rahisi hivyo. FANYA KAZI NA ASIYEFANYA KAZI NA ASILE.
 
Chagua Tundu Lissu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii ishu inaweza kuwa kwel mbna sirikali ipo kimya tuu
 
Kuna jamaa hapa anasema mnaonaje tulipe hii miaka mitano limazie miundo mbinu yake ili 2021.NISAIDIENI NIMJIBUJE?
Hata akipewa miaka 30 hawezi maliza.
Hio 5 atatumia kigezo Cha kutokamilka kujiongezea mda,vipi pia ikifika hio 2025 akaanzisha miradi mingine mikubwa mfano kupeleka bahari ya hindi kwao si atatumia vigezo hizo kuendelea kudumu madarakani
 

Nchi yetu tuliiharibu sana sasa tunaingia gharama wenyewe kuitengeneza
Kila anaingia gharama hata John Pombe Magufuli anaingia gharama kwa kutukanwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…