Uchaguzi 2020 Tumrudishe Magufuli Chato

Uchaguzi 2020 Tumrudishe Magufuli Chato

Kaka arudi mara mbili??? yaani hapa ni achague kugoma au kwenda kwa hiari.
 
Baada ya 2025 atarudi Kwa hiari yake, na hapo sasa kama nchi hatujaamua kumwongezea kipindi kingine cha kuongoza
 
Kaka arudi mara mbili??? yaani hapa ni achague kugoma au kwenda kwa hiari.
Naskia Marekani anafanya yake muda huu. Tamko rasmi la uchunguzi dhidi ya Magufuli, Mabeyo, Diwani na Sirro kwa mauaji na utesaji wa watu Zanzibar na Tanzania linatoka muda si mrefu.

Wakilazimisha mwaka huu ni ICC tu na ushahidi upo wa kutosha.
 
Naskia Marekani anafanya yake muda huu. Tamko rasmi la uchunguzi dhidi ya Magufuli, Mabeyo, Diwani na Sirro kwa mauaji na utesaji wa watu Zanzibar na Tanzania linatoka muda si mrefu.

Wakilazimisha mwaka huu ni ICC tu na ushahidi upo wa kutosha.
Ndiyo nakwambia hawa watu wanajitakia makuu, huu uchaguzi si wa kuchezea kabisa.
 
Mimi nadhani badala ya kurudishwa Chato, angepelekwa kuzimu kwa baba yake ibilisi milele!
 
Akapumzike kwa kweli.
Atohitaji Tena kura zetu atatumaliza atatushughulikia kweli kweli atofanya chochote kuhusu alivyohaidi maana hatoitaji kura zetu tena.

Kama kwa 5 yrs amewaumiza watu vipi kwa mnango huu alioupata kipindi hiki cha kampeni unategemea nn juu ya visasi kwa watz, maana atatukomesha haswaa kwa ukatili na unyama wa Hali juu akijisifu si mlidhani sirudi.

Hatari ni kubwa Sana wengi watakimbia nchi akirudi huyu
 
Kweli kabisa ni kumrudisha jiwe chato akachunge ng'ombe ameharibu nchi hii sana.
 
Itendee haki nafsi yako kesho ni siku maalumu ya kulipiza kisasi kwa mabaya yote uliyotendewa na Utawala huu dhalimu.Weka tiki (vema) kwenye jina la mwisho la mgombea, hakikisha hiyo vema ama tiki yako haitoki nje ya kibox (kisanduku). Pia usitoboe macho kwa mgombea number moja kwa hasira maana kufanya hivyo utakuwa umeharibu kura yako.
 
Kwa Tume ipi? Hii inayoengua na kupiga red card wagombea wa vyama vingine isipokuwa cha CCM!! Kwa polisi wanaomtamkia HADHARANI mwenyekiti wa chama cha mageuzi chenye nguvu zaidi ya vyote, kuwa hatoshinda!!!
 
Mnajifariji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho mwisho wa sarakasi za ubelgiji.

Magufuli ndiyo mshindi hivyo mitano tena [emoji1241]
 
Kwa anavyoua watu Zanzibar saivi hapaswi tu kurudishwa chato. Tukimuondoa madarakani hapo kesho ni kuhakikisha anakuja kuchukuliwa na kina Siro, Mabeyo na Diwani na wote wanaenda ICC wakanyee ndoo
 
Hata akipewa miaka 30 hawezi maliza.
Hio 5 atatumia kigezo Cha kutokamilka kujiongezea mda,vipi pia ikifika hio 2025 akaanzisha miradi mingine mikubwa mfano kupeleka bahari ya hindi kwao si atatumia vigezo hizo kuendelea kudumu madarakani
Tunashukuru kwa aliyoyafanya lakini sasa ni zamu ya mwingine kutawala nchi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom