Tumrudishe Morrison Msimbazi

Naunga mkono hoja
 
Siwezi kuwa utopolo na wala sihitaji support yoyote ya kijinga
 
Hizi ni aibu tu ndizo zinazowasumbua . Morison mlipelekana naye hadi CAS . Cha ajabu baada ya kumaliza mkataba wake simba mkamshobokea . Bahati mbaya akamdharirisha rais wenu mbele ya Rais pale Ikulu.

Kwahiyo hizi mada mnazoanzisha niza kujitoa aibu ili muone Mashabiki wa simba wanasemaje. Bahati mbaya Mashabiki wa simba huwa siyo washobokaji kama wale wa Yanga .
 
Wako Morrison wengi tu, its a matter of scouting
Huu ni uongo.
Hao wengi utawapata wapi?

Ni bahati kupata mtu mwenye skills za mpira kama Morrison.
Bahati mbaya tu ana tabia tata.Lakini ingekuwa mimi ndiye nahusika kusajili,nisingemuacha.Paka ni paka tu bora anakamata panya
 
Akipata uraia wa Tz sawa ila kama bado ni international player hatufai
 
Labda akishapata uraia,
asajiliwe kwa nafasi za wazawa aungane na mdogo wake Kibu Denis
 
Tupo tayari kumrudisha lakini tumlipe kulingana na dakika atakazocheza. Hatuwezi kumlipa mfanyakazi hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…