SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Naunga mkono hojaHaijarishi, mtu yeyote anayeleta ujinga ataambiwa, siungi mtu mkono kwa kanuni ya kwamba tupo team moja.
Ndio maana msimamo wangu uko wazi hatumuhitaji Manara Yanga, GSM wachukuwe hii takataka yao wakaipe ajira huko GSM.
Au TFF wamfungie maisha, huyu ni kirusi kibaya kwenye mpira.