Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Himidi mao hawezi kucheza mpira labda karate au ushu2. Kessy
3. Gadiel
4.Nyoni
5. Yondani
6.Mkami
7.Msuva
8. Fei toto
9. Chilunda
10. Samatta
11. Ulimwengu
Kikosi cha kwanza.
Himidi mao hawezi kucheza mpira labda karate au ushu
Dickson na huyo kelvin ni upuuzi. Dogo wa simba Rashid ndio angalau alistahili, ana experience!Kwa wale wanao wajua wachezaji wazuri Watanzania, tihisikiane kuwatambua.
Hawa hawawezi kukosekana
1. Samata
2. Musuva
3. Kelvin John ( u17)
4. Dickson Job ( captain u20)
5. Bocco
6.
7.
8.
Mashindano ya kichomekea jezi hatoki mtu hapo.Himidi mao hawezi kucheza mpira labda karate au ushu
Huyu boxer anatakiwa aende hata Kapombe akiwemo ili mradi awe kapona vzrYule Boxer kwa mini huwa hachaguliwi anateuliwa majeruhi Ka-alcohol?
Kabisa yaani. Na magolikipa hamna in case Mmanuo akiumia.Huyu boxer anatakiwa aende hata Kapombe akiwemo ili mradi awe kapona vzr