Tumsaidie huyu binti kwa ushauri kulingana na matokeo yake kidato cha nne

Hiyo sio four ya 30 ni ya 29 kozi za Veta zina muhusi na za baadhi ya za afya.
 
Nashauri akasome certificate ya record Managementau socialogy kwa kulingana na matokeo yake au anaweza kwenda kusimea certificate ya masomo ya biashara kwakuwa ana anza na certificate basi akimaliza baada ya mwaka anaunga Diploma yake maisha yanarndelea!
 
Naunga mkono hoja
 
Certificate phamacy
 
Nilijua tuu lazima ni kilaza
 
Sekta ya Afya inamfaa zaidi kuliko eneo jingine lolote,

hatojuta wala hutapata hasara wewe unaemsomesha....

huyo mbona ni nurse kabisa na baadae daktari aise.....
Asichelewe sasa kuanza masomo...

Namuombea Baraka na Neema za Mwenyezi Mungu katika Masomo yake...
 
Mungu akubarik sana
 
Kwa system za bongo kafaulu uwe na ada tu ya kusomesha kwenye vyuo vya certificate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…