Tumsaidie huyu binti kwa ushauri kulingana na matokeo yake kidato cha nne

Tumsaidie huyu binti kwa ushauri kulingana na matokeo yake kidato cha nne

Wakuu tumsaidie huyu dogo mana nimekosa Cha kumshauri kwa Sasa, Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka
Huyu binti kapata Division Four ya 30.

Civics D
Kiswahili D
History D
Geography D
Biology C
Masomo mengine kapata F

Je, sehemu ipi Inamfaa huyu binti?
Hapo bado anaoption ya kusoma vitu vingi kama una uwezo anaanza certificate mwaka mmoja, diploma 2 anaenda chuo kama kawaida. Atapishana kidogo tu na wale walionda five na six. Ina maana english kapata F aliwezaje kujibu CIVICS, gEOGRAPHY na History?
 
Back
Top Bottom