Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

Well said. Shukuru Manya would be the best placement.

Huyu wa sasa, ni wale wale, tena kwa kiwango cha kutisha.
Samia asome ujumbe huu na akisikiliza ushauri huu atakuwa ameokoa wananchi na wizara ya madini
 
🔛Elimu na ufundi - ndugu kishimba

🔛 Uchumi fedha - ndugu kimei

🔛Ardhi nyumba makazi - ndugu lukuvi

🔛Chakula mifugo ndugu mpina

🔛Ajira Sera mipango ndugu jafo

🔛 Bunge utawala bora ndugu A kairuki

🔛Maji na mifugo ndugu Waitara

🔛Madini na Biashara ndugu Biteko

🔛Nishati Teknologia ndugu kalemani

🔛Habari Sanaa michezo ndugu katambi

🔛Afya maendeleo jamii ndugu mwalimu

🔛Sheria na katiba ndugu mdee

🔛Mambo ya nje ndugu mulamula

🔛Mambo ya ndani ndugu simbachawene

NOTE: Bunge hili wabunge waliopo sio wachapakazi wala hawana uwezo wa kujenga hoja na kumshawishi mwananchi na serikali kipi kiwe na kipi kisiwe Ila hao at least wanaweza sogeza kitu mahali.

Pia nakuomba Rais niteuwe Mimi kuwa mjumbe wa Biashara za ndani na nje ya mipaka naamini nitakuletea pesa za kigeni nyingi ndani ya miezi sita ya kwanza utaona kitu.

Kama hutojali nipe nafasi niongoze shirika la nyumba la Taifa na tulete Imani ya makazi kwa watanzania wa kipato Cha chini na Kati waweze kununua nyumba hzo sio sasa matajir tuu ndio wanufaika.

Nipe nafasi nikuwakilishe kwenye moja ya shirika (NSSF, Atcl, TTCL, NHIF& Namengineyo)ambalo unaona haliendi vizuri nipe hyo nafasi Mambo yatakaa sawa ndani ya muda mfupi.

Moja Kati ya nafasi utakayonipa nitahakikisha tutapata matokeo chanya Mimi pamoja na watendaji ambao nitawakuta au utatuongezea kwa maslai ya Taifa la Tanzania.

naomba uweke historia kuwa unajali wanachi wa Hali zote basi niteuwe niwawakilishe vijana fresh from JF hapo utajua kuwa kumbe Taifa hili lina watu wazalendo wachapakazi rejea komenti na post zangu hapa JF.

❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌

Eti Mulamula, Angela Kairuki, Kalemani, Kishimba, Waitara, Kimei, Mpina, hawa hawafai kabisa. You are joking, stop kidding..

Mama Samia so far ameshauriwa vibaya kumrudisha Angela Kairuki, sbb sio mtendaji kabisa, soon i believe atampiga chini, kama huamini, next year CAG report subiria uone..

Hiyo list ulio taja nimerudia hapo, naona umelala ww hujui kwanini Mh. Rais kawaweka kando, sbb hawafai kabisa, ww it seems hujui vitu kwa undani, uko kusoma mitandaoni na magazeti tu, ila hujui watu kiundani, kumpa mtu position kama ya Uwaziri kwa 100% lazima umjue vema, ww huwajui kabisa.
 
Kairuki amekuwa mzigo.
Kila wakati anamkumbuka muwe aliyeko china , akili yake haijatulia.
Ameacha wakurugenzi wa Halmashauri wanakula fedha kuliko mchwa
 
Hapo umelalamika hujatoa solution wewe pendekeza Nani anafaa akae wap.

Onyesha kupevuka kidogo usiwe Kama wale wanaolalamika tuu bila kuwa na njia za utatuzi alafu Kama unachuk binafsi na mtu
 
Kairuki amekuwa mzigo.
Kila wakati anamkumbuka muwe aliyeko china , akili yake haijatulia.
Ameacha wakurugenzi wa Halmashauri wanakula fedha kuliko mchwa
Tamisemi anatakiwa mtu mfatiliaji na muwajibishaji,kama mama anataka matokeo ampe bashiru amsaidie hiyo wizara
 
Wee hufai kuwa DC, familia imekushinda sasa unaongoza vipi wana nchi wa kibaha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wakutoe tyuuh
Wewe choko hivi hizi shobo unazoleta kwangu ni kwamba unanipenda sana au? Mimi najisikia kichefuchefu sana hata nikiona tu comment yako, mwili mzima unanuka nnya
 
Wewe choko hivi hizi shobo unazoleta kwangu ni kwamba unanipenda sana au? Mimi najisikia kichefuchefu sana hata nikiona tu comment yako, mwili mzima unanuka nnya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nick hebu tulia hukoo. Khaaah
 
Solution ni Mawaziru wasitokane na Wabunge,maana watu wengi walio smart hawajishirikishi na siasa-maana politics ni risk kwa MTU smart hawezi aka take risk ya kijinga kujishirikisha kwenye siasa.

Kwa mfumo wa sasa ambapo Mawaziri wanachaguliwa Ku balance ki Mikoa ni ngumu kupata watu smart.
 
Tujiwekeeni malengo ambayo hayateteleki a.k.a maono ya kitaifa! Kila wizara ibainishe mambo yake kwa kuwashirikisha wataalamu wa nje na ndani ya serikali.

Baadae tutafute mawaziri wenye elimu na uwezo wa kuyatekeleza malengo au maono tuliyojiwekea. Updates zitolewe mara kwa mara ili kujua ni kipi kinatekelezeka na kipi hakitekelezeki.

Kwa hali ilivyo sasa hivi, waziri akiingia kwenye wizara anakuja na vitu vyake. Kila mwaka tunapiga marktime hatusongi mbele.

Misaada ya mabeberu ikija inazidi kutuchanganya. Inatutoa kwenye malengo au maono yetu na inataka tufuate wanavyotaka wao.

Kwa upande mwingine, kila waziri anataka kukwapua misaada iliyotolewa ili ajiimarishe na uchaguzi ujao. Wanataka kurudisha fadhila kwa waliowateuwa au kuwapendekeza kuwa mawaziri.

Nafasi za uwaziri wapewe watu waliosomea taaluma husika na mawiziri wasiwe wabunge, nafasi zitangazwe watu wafanye usaili kugombania nafasi ya uwaziri.
 
Majina yanatoka msoga na si pengine. Ni marufuku kutoa jina iwe udc, ukurugenzi au uaRC nje ya msoga. Ipo hivyo
Akili zetu hazijashikiliwa chini ya godoro kama mpumbavu wewe
 
Jumaa Aweso ni miongoni mwa mawaziri mizigo.

Dr.Nchimbi na Wiliam Lukuvi wamemuudhi nini mama mpaka anacha hizi chapakazi badala yake anateuwa mawaziri dhaifu wasio wachapakazi?
[/Q
Mzigo wa mavi usipomshinda mtu kwa uzito basi harufu itakua kero hivyo lazima uutupe.

Nisuala la mudatu. Mama ataibwaga mizigo
 
Back
Top Bottom