Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimiongoni mwa wale msio amini katika ukosoaji.Sijui kwa nini watu wanapenda sana kusoma ujinga unapopostiwa humu, yaani lijitu lizima na akili zake kisoda linasoma ujinga wa mtu [emoji12][emoji12]
Kama rais hawezi ku consolidate power hili ni tatizo kubwa, ndo maana kunatakiwa marekebisho kwenye succession plan endapo rais atafariki akiwa madarakani au kushindwa kutimiza majukumu yake. Transition period haitakiwi kuzidi miezi 6, ambapo kati ya jaji mkuu au spika wa bunge atakaimu na kuitisha uchaguzi mpya katika kipindi cha miezi sita ili kuondoa loopholes za watu ambao watataka ku hijack madaraka nyuma ya pazia.....Hello wana JF,
Sijui kama yaliyosemwa na Lissu kuhusu Rais wetu ni kweli? kuwa Rais wetu yupo kama kivuli wanaoishikilia nchi ni wengine.
Binafsi ningependa kushauri kama ni kweli, Structure/ muundo na majukumu ya anayehodhi kiti cha Urais kunahitaji mabadiliko...
Iundwe kikundi cha watu wenye elimu tofauti,uzoefu tofauti, wao ndio waongoze nchi, wasiozidi watano,
Hao Mawaziri na Wabunge hawakupatikana kihalali wanajali zaidi interests zao, wanampeleka mama shimoni,
Halafu ni wengi mno, wanapata wapi muda hata wa kusikilizana?
Akiunda hii independent body kama watu 5 muwe wawe wanakutana private away from bunge/baraza la mawaziri na influences zao.
Ataona confidence yake inapanda sababu mko close na una muda wa kuwasikiliza na kuweka mikakati, follow up ya hio mikakati...ni idea tu wakuu.
SiJASEMA BUNGE/BARAZA LA MAWAZIRI LIVUNJWE.