Tumsaidie Rais Samia

Sijui kwa nini watu wanapenda sana kusoma ujinga unapopostiwa humu, yaani lijitu lizima na akili zake kisoda linasoma ujinga wa mtu [emoji12][emoji12]
Nimiongoni mwa wale msio amini katika ukosoaji.
 
Kama rais hawezi ku consolidate power hili ni tatizo kubwa, ndo maana kunatakiwa marekebisho kwenye succession plan endapo rais atafariki akiwa madarakani au kushindwa kutimiza majukumu yake. Transition period haitakiwi kuzidi miezi 6, ambapo kati ya jaji mkuu au spika wa bunge atakaimu na kuitisha uchaguzi mpya katika kipindi cha miezi sita ili kuondoa loopholes za watu ambao watataka ku hijack madaraka nyuma ya pazia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…