Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa.

Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga?

Hivi hizi Kodi zote na matozo mbalimbali, tunayokatwa watanzania masikini, kumbe zinawafaidisha watu wachache, ambao wao kazi yao ni Moja tu, kufanya "dili" ya kutuibia?

Ndiyo maana ninasema ni wajibu wa Kiila mtanzania mzalendo, Kwa hivi Sasa, kumsaidia Rais wetu Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonsha dhamira njema, Kwa nchi hii, tuizomee bila kuchoka, hii mijizi ya fedha ya Umma, Hadi hapo watakapoona aibu na kuiacha hii tabia mbaya ya wizu, ambayo inaelekea italiangamiza kabisa Taifa letu[emoji41]
Hiyo kazi ya kifala fanya mwenyewe....ushauri wa kipumbavu sana.
Yaani mtu anaiba wewe unashauri azomewe?..Stupid indeed
 
Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa.

Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga?

Hivi hizi Kodi zote na matozo mbalimbali, tunayokatwa watanzania masikini, kumbe zinawafaidisha watu wachache, ambao wao kazi yao ni Moja tu, kufanya "dili" ya kutuibia?

Ndiyo maana ninasema ni wajibu wa Kiila mtanzania mzalendo, Kwa hivi Sasa, kumsaidia Rais wetu Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonsha dhamira njema, Kwa nchi hii, tuizomee bila kuchoka, hii mijizi ya fedha ya Umma, Hadi hapo watakapoona aibu na kuiacha hii tabia mbaya ya wizu, ambayo inaelekea italiangamiza kabisa Taifa letu[emoji41]
SIO KUWAZOMEA WEZI HUKAMATWA NA KUFIKUSHWA MAHAKAMANI TUNACHOTAKIWA ni Kumtaka RAIS AWAKAMATE NA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI
 
Mwizi hazomewi bali kifo au jela. Umzomee amekuwa kikojozi au?
 
Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa.

Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga?

Hivi hizi Kodi zote na matozo mbalimbali, tunayokatwa watanzania masikini, kumbe zinawafaidisha watu wachache, ambao wao kazi yao ni Moja tu, kufanya "dili" ya kutuibia?

Ndiyo maana ninasema ni wajibu wa Kiila mtanzania mzalendo, Kwa hivi Sasa, kumsaidia Rais wetu Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonsha dhamira njema, Kwa nchi hii, tuizomee bila kuchoka, hii mijizi ya fedha ya Umma, Hadi hapo watakapoona aibu na kuiacha hii tabia mbaya ya wizu, ambayo inaelekea italiangamiza kabisa Taifa letu😎
ww hujielewe mtu kaiba mali ya uma tumzomee ili iweje wakat anatakiwa achukuliwe hatua kali iwe funzo kwa wengne
 
Umechoka sana. Wazomewe? Au washikwe na kufungwa? Ati Rais mwenye nia njema! Ukiona wanaiba kweupe kiasi hiki ujuwe hata wee Rais ni dhaifu. At stupid, nani kaliwa? Wewe ndiyo stupid maana umeliwa na umeishia kukoroma ati stupid! Tenda kama una uwezo
Kwanza hata hiyo stupid wengine hawajui ni nini?
 
Tumsaidie kuwazomea watu ambao kawakumbatia?, si tutakua tunamzomea yeye?. Samia knows everything (who is bad and who is good), sema tu ndo hana mamlaka, remote ipo Mgaso.
 
Au tuanze kubeba mifugo yao na mashamba kama vijana wa Kenya?

Unatamani wafungwe lakini wa kuwafunga nao wamepewa mgao wao
Acha tuwe mkiani kwenye nchi zote duniani kwa ujinga wetu
 
Back
Top Bottom