MASHUKE ORIGINAL
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 223
- 429
Dah hivi wadau wabongo fleva wanashindwa hata kufanya harambee ili wa msaidie jamaa,kwani UGONJWA WA FIGO MBAYA,usikie tu kwa mwezio kama huna hela ya kusafisha figo kila wiki unakufa huku unajiona.Wakuu za muda huu?, Nimeona you tube channel ya Global publishers wakifanya mahojiano na DJ Steve B, aliyewahi kuwa DJ wa clouds FM siku za nyuma, huyu jamaa anaumwa ana matatizo ya figo, please wakuu mwenye chochote amsaidie kupitia mamba yake 0715884006 Jina Steven Mdoe. Mbarikiwe.
Sialikuwa na akina majizo huyu,nilikuwa nampenda sana huyu bro akiwa hewaniAisee Watu Wanasahau Marafiki Kwenye Dhiki
Vikali msosi habaDah!
walikuwa wanalishwa nini huko klaudis?
Wasanii wanasubiri mpaka afe waingie studio kumtungia wimbo wa maombelezo..
hawawazi kumsaidia kwa sasa..
Wasanii mnaotaka wamchangie nao choka mbaya sana sasa
Nimesikiliza interview yake Global tv ikanisikitisha sana. Mahojiano yale yanafikirisha sana na ili kutoleta sintofahamu au kutokuelewana bora kuyaacha ili wadau wamsaidie apate matibabu.
Ila tujifunze kuwa siku yatakapokuja kukupata ya kukupata, ni familia yako ndio itayoangaika na wewe. Uzima na nafasi yako ndio kitu kinachofanya uheshimiwe na vikitoweka wote wanaojifanya kukupenda hutowaona.
Fikiria DJ Steve B akiwa active pale Clouds alikuwa anafuatwa na wangapi awasaidie? Alikuwa na marafiki including wasanii wakubwa wangapi? Simu ngapi zilikuwa zikiita kila dakika? Imagine yule ni icon wa XXL kipindi kikubwa mno cha vijana Tanzania, Kuna wakati ndio alikuwa DJ tegemeo na kichwa pekee pale Clouds baada ya Boniluv kuacha lakini sasa yupo peke yake akihangaika na ndugu zake!
Tuwe karibu na familia zetu na hasa muumba wetu. Sometimes tunaishi kama tutaishi milele, mtu hata hukumbuki hata lini mara ya mwisho kukanyaga Kanisani/msikitini! Hata ule utii na nia ya kushirikiana na Kanisa au waamini wenzako huna time zaidi ya kukimbizana na dunia!
Kama Mungu anakuhitaji na wewe mkaidi anaweza kutumia hata njia ngumu sana kukurudisha kwake kama alivyomfanyia Yona. Una siku saba za wiki tenga siku moja ya kuhudhuria ibada, kila siku omba/mshukuru Mungu hata kwa dakika chache, itakujenga na kukuokoa na mengi.
Tujitahidi kumsaidia ndugu yetu Steve B kwa kila hali ili arejee afya yake. Nimeona huruma sana. Kristo kupitia mateso na madonda yake pale msalabani amponye ndugu yetu.
Hapana mkuu sijamaanisha hivyo. Ila nimeona tukumbuke sisi ambao ni wazima tukae vizuri na familia zetu na kumkumbuka muumba wetu maana ukiwa matatizoni ndio wataosimama na wewe. Wengine wanakupenda sababu ya uzima na nafasi yako tu.Mimi na wew km vile ulikua moyon mwangu wakati ni wazima wa afya wanakimbizana na dunia na akina lulu mara amber rutty na vilevi vya bei mbaya vya Russia ndio saiz yao matatatizo tunashea huku jf waende kwa walabata wenzie kuanzia maisha club, next door, ambiance na sehemu zote za bata maana huko ndio aliko acha izo figo zake na wenzake akazilejeshe .
Unajuaje hawajamsaidia. Na ninyi mashabiki chezeni sehemu yenu.. Sio lazima wasanii tuWasanii wanasubiri mpaka afe waingie studio kumtungia wimbo wa maombelezo..
hawawazi kumsaidia kwa sasa..
Umeandika vyema sana, Mkuu.Nimesikiliza interview yake Global tv ikanisikitisha sana. Mahojiano yale yanafikirisha sana na ili kutoleta sintofahamu au kutokuelewana bora kuyaacha ili wadau wamsaidie apate matibabu.
Ila tujifunze kuwa siku yatakapokuja kukupata ya kukupata, ni familia yako ndio itayoangaika na wewe. Uzima na nafasi yako ndio kitu kinachofanya uheshimiwe na vikitoweka wote wanaojifanya kukupenda hutowaona.
Fikiria DJ Steve B akiwa active pale Clouds alikuwa anafuatwa na wangapi awasaidie? Alikuwa na marafiki including wasanii wakubwa wangapi? Simu ngapi zilikuwa zikiita kila dakika? Imagine yule ni icon wa XXL kipindi kikubwa mno cha vijana Tanzania, Kuna wakati ndio alikuwa DJ tegemeo na kichwa pekee pale Clouds baada ya Boniluv kuacha lakini sasa yupo peke yake akihangaika na ndugu zake!
Tuwe karibu na familia zetu na hasa muumba wetu. Sometimes tunaishi kama tutaishi milele, mtu hata hukumbuki hata lini mara ya mwisho kukanyaga Kanisani/msikitini! Hata ule utii na nia ya kushirikiana na Kanisa au waamini wenzako huna time zaidi ya kukimbizana na dunia!
Kama Mungu anakuhitaji na wewe mkaidi anaweza kutumia hata njia ngumu sana kukurudisha kwake kama alivyomfanyia Yona. Una siku saba za wiki tenga siku moja ya kuhudhuria ibada, kila siku omba/mshukuru Mungu hata kwa dakika chache, itakujenga na kukuokoa na mengi.
Tujitahidi kumsaidia ndugu yetu Steve B kwa kila hali ili arejee afya yake. Nimeona huruma sana. Kristo kupitia mateso na madonda yake pale msalabani amponye ndugu yetu.
Nimesikiliza interview yake Global tv ikanisikitisha sana. Mahojiano yale yanafikirisha sana na ili kutoleta sintofahamu au kutokuelewana bora kuyaacha ili wadau wamsaidie apate matibabu.
Ila tujifunze kuwa siku yatakapokuja kukupata ya kukupata, ni familia yako ndio itayoangaika na wewe. Uzima na nafasi yako ndio kitu kinachofanya uheshimiwe na vikitoweka wote wanaojifanya kukupenda hutowaona.
Fikiria DJ Steve B akiwa active pale Clouds alikuwa anafuatwa na wangapi awasaidie? Alikuwa na marafiki including wasanii wakubwa wangapi? Simu ngapi zilikuwa zikiita kila dakika? Imagine yule ni icon wa XXL kipindi kikubwa mno cha vijana Tanzania, Kuna wakati ndio alikuwa DJ tegemeo na kichwa pekee pale Clouds baada ya Boniluv kuacha lakini sasa yupo peke yake akihangaika na ndugu zake!
Tuwe karibu na familia zetu na hasa muumba wetu. Sometimes tunaishi kama tutaishi milele, mtu hata hukumbuki hata lini mara ya mwisho kukanyaga Kanisani/msikitini! Hata ule utii na nia ya kushirikiana na Kanisa au waamini wenzako huna time zaidi ya kukimbizana na dunia!
Kama Mungu anakuhitaji na wewe mkaidi anaweza kutumia hata njia ngumu sana kukurudisha kwake kama alivyomfanyia Yona. Una siku saba za wiki tenga siku moja ya kuhudhuria ibada, kila siku omba/mshukuru Mungu hata kwa dakika chache, itakujenga na kukuokoa na mengi.
Tujitahidi kumsaidia ndugu yetu Steve B kwa kila hali ili arejee afya yake. Nimeona huruma sana. Kristo kupitia mateso na madonda yake pale msalabani amponye ndugu yetu.
Acheni kubwabwaja... Clouds media is handling it...Nimesikiliza interview yake Global tv ikanisikitisha sana. Mahojiano yale yanafikirisha sana na ili kutoleta sintofahamu au kutokuelewana bora kuyaacha ili wadau wamsaidie apate matibabu.