shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
Wanatoa full bila kinyongo hata ukifanyiwa transplant dawa wanakugharamia for life.Gharama za matibabu ya figo NHIF hawawezi kutoa,sababu ni kubwa, gharama za kusafisha figo ni zaidi ya laki tano kwa wiki.
Kila wiki unatakiwa usafishe mpaka hali itapotengemaa.