Tumsaidie Steven Mdoe aka Dj Steve B anaumwa sana

Tumsaidie Steven Mdoe aka Dj Steve B anaumwa sana

"Sitivuu biii, ni wewe nasababisha muji kutishingika kinoooma nooma tupa sisi rubudaniii...asaaanduuu" hahaha ilikuwa ni jingle jmosi bongoflava clouds fm kuanzia ngoma nne hivi...
ha ha ha, umenikumbusha nyuma kdg, kibwagizo hicho kilifanywa na mr ebo
 
Steve B asee, huyu mshikaji nimekaa nae Regent, enzi hizo za Regent Party

Itabidi wadau wa Regent wampige tafu
 
"Eeeh Zouk ,Charanga,lizimu and blues ,brother u cross the border ,High Class still survive "


Verse ya Steve B enzi anachana ,na akina Imam Abbas na Baraka ,enzi hizo Tambaza
 
Wakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
 
Ndio huyu au
Steve%20B%2020190820_122614.jpeg
 
aliemleta Stevie B pale Clouds FM (CMG), ni Ruge Mutahaba, kipindi hicho jamaa yupo East Africa Redio, kipindi cha The Cruz.
Ruge aliwahi ulizwa ni Dj gani anaemkubali ambae hayupo Cloud, akamtaje Stevie B, from there Steve akaja Clouds, kipindi hicho kufanya kazi Clouds ni ujiko mjini

Ndie Dj ambae nam-miss zaidi, zile skills zake ktk mashine tangu enzi za Billicanas,

Pole sana Legendary Dj Stevie B. Mungu ni mwema utapona
 
Wakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
Wazo la kipumbavu kabisa kutoka kwa mpuuzi

Yaani wewe utoke na kende zako kwenda Billz na lengo lako ni kuingia for free??
 
Wakati ni mzima yupo nyuki DJ aliwai msaidia nani hata kuingia tu bure pale billZ
Wazee wavitonga,sasa unaenda club huna hela si bora ulale nyumbani,alafu hiyo hela yako ya nauli unywee chai na chapati.
Yaani unataka kufanya starehe kwa mfuko wa mwenzio.
 
Pole yake ugonjwa mbaya sana na gharama zake kubwa. Ukiamka asubuhi kabla ya kula chochote ni vizuri unywe maji mengi kama utaweza hata lita 2 za maji inasaidia kusafisha figo. Maji ni muhimu sana mwilini
Hiyo maji lita mbili ni kwa kutwa sio kabla ya chochote glass ya mls 250 inafaa kwa kuanzia siku lita 2 ni too much na haikusaidii.
 
Back
Top Bottom