Tumshauri kijana mwenzetu Adam Mchomvu achague A au B au C


Kweli kabisa Tanzania nzima huyu Mchomvu ni mkali ana Kila sifa hadi kuimba anaweza daah. Hata Milard mdogo sanaa kwa huyu
 
Jamaa yupo talented lakini bange nyingi..hawezi pewa kipindi aongoze yeye,kwanza atajipigia hiphop tupu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alaf wabana pua
Mizik yenu ataibana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakweli jamaa wanamchukulia poa wakati ndio master mind wao hasa kww fiesta
 
hahahaha ushauri wenu umechelewa au kuwahi kidogo,ilishaamuliwa Adam ndo atakuwa host wa xxl kuchukua nafasi b12,kuanzia next week
 
Ndoto yako siyo kama ya Adam Mchomvu.

Hivyo Adam Ni Adam na Wewe ni Wewe.

Pili, Uhuru ni kila kitu ( Clouds kuna uhuru sana ).

Kama anatangaza dakika 30 na mshahara wake ni zaidi ya Laki 8 kuna tatizo gani hapo !

( Hilo tu linaonesha naoa gani alivyo Gwiji, Kuuza Sauti Yako Kwa Dakika 30 Tu ).

Hata Gardner ana anatangaza masaa 4 lakini anakula parefu.

Sasa Kama Unadhani Kurundikiwa Mzigo Wa Majukumu Ndio Mafanikio, Utakuwa Mjinga.

Tatu, Kuhusu Uongozi, Siyo Kila Mtu ANAPENDA KUWA KIONGOZI Kama Magufuli Hata Kama Hawawezi.
Kuna Watu Wanapenda Kuwa Huru V Na Maisha Yao, So Relax.

Mwisho Kuhusu Muziki, Nadhani Adam Anajifuraha Tu Kwa Kuwa Ni Kitu Anachopenda, Sidhani Kama Ndio Jnakazaaa Kwamba Akitoa Ngoma Ikibuma Anakoswa Pesa Ya Kodi.
 
Adam ni Arachuga og, ni zile damu za Hiphop ambazo hata ufanyaje huwezi kuzibadili. Tatizo ni bado hajapata wa kujua jinsi ya kumtumia huko kwenye Hiphop. Yule alipaswa apewe uwanda mpana kuwakilisha hiphop pale CMG
 
Pj na hando walishaaga kumbe
Pale kuna [emoji117]Masoud Kipanya
[emoji117]Cza
[emoji117]Babra

Alafu kuna [emoji117]Bonge, yeye huripoti kutokea mtaani,, mida yake kama saa mbili kasoro ivi

[emoji117]Sam msasal, yeye huja kusoma habari za magazeti,, ila ni mbunifu sanaa,,

Mm napenda kuskiliza kuanzia saa mbili maana nakutana na habari za magazeti,, pale kuna maswali wanaulizana ambayo yanafikirisha sana,

Vipindi vinavonivutia ni
1,Power breakfast
2,Sport Xtra - sie wapenda michezo baada ya harakati za hapa na pale basi usiku tunashushia na michezo




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…