Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
[emoji3][emoji3][emoji3]Kile kichwa kiko race kile..[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba atajipigia hiphop tupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kile kichwa kiko race kile..[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba atajipigia hiphop tupu!
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki.
XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva ulinyang'anywa siku nyingi tu..now amepewa kennedy. Utaendelea kuwa mtangazaji mdogo hadi lini. nI KIPI ambacho umefanya hadi usiaminike)
Adam wewe ni brand kubwa sana..Tatzo hujui tu au hawakuambii. XXL bila wewe inakufa., Muda ambao unatangaza XXL ni dk 30 tu likini wewe ni maarufu kuliko kipindi.
Licha ya wewe kumzidi kila kitu B12 utangazaji..creative..but host wa kipindi alikuwa B12..kwa hapa labda kwakuwa ulimkuta.
B12 kaondoka tulitegemewa utapewa wewe...wamempa kijana mdogo Kennedy..Kweli wewe wa kuongozwa na Kennedy. Yaani Kennedy unamzidi kila kitu.
umekuwa underrated sana brother, ona hata kwenye FIESTA ulikuwa mc tu...kila kitu alipewa B12..LEO HATA Kennedy anasauti kwako.
chagua yafuatao
a) hama hapo..nenda sehemu yeyote...wewe hamna anayekufikia bongo..hao wakina lommy, b12, sam hamna anayeweza hata kwa nusu yako. Nenda radio zingine ukapate changamoto zingine.
au
b) fungua youtube yako/hapo mjengoni unafanya kazi muda mchache..fungua youtube utakuwa unawahoji wasanii mbali mbali..kwa jina lako wewe youtube itafika 500k miezi 3 tu/...wote wanafanya..b12, salam, sns.. youtube yako ya mziki ifanyeiwe ya habari...
au
c) Achana na mziki unakupotezea muda.
Adam upo underrated sana..Tanzania hii hakuna mtangazaji anayejua kutangaza redioni..stejini..km wewe..
Ondoka hapo..watoto wadogo watakudharau. sepa
View attachment 1469548
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]alaf wabana puaJamaa yupo talented lakini bange nyingi..hawezi pewa kipindi aongoze yeye,kwanza atajipigia hiphop tupu
Hiv pj,hando,babra Hasan na bonge[emoji23][emoji23][emoji23]
Pj yuko wapi?
Hata Gaddner G si yule wa enzi zile,,
Aliyerudi na bado yupo ktk Peak ni Masoud Ally Nyomwa KP [emoji232][emoji242] [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Adam kama Alyy Kiba akili zao
(Adam kijana mwenzangu umeanza CLouds fm siku nyingi sana lakini angalia jinsi ambavyo unatengwa. Angalia jinsi ambapo huaminiki.
XXL ni wewe ndiyo ambaye unaibeba..Kipindi cha Bongo fleva ulinyang'anywa siku nyingi tu..now amepewa kennedy. Utaendelea kuwa mtangazaji mdogo hadi lini. nI KIPI ambacho umefanya hadi usiaminike)
Adam wewe ni brand kubwa sana..Tatzo hujui tu au hawakuambii. XXL bila wewe inakufa., Muda ambao unatangaza XXL ni dk 30 tu likini wewe ni maarufu kuliko kipindi.
Licha ya wewe kumzidi kila kitu B12 utangazaji..creative..but host wa kipindi alikuwa B12..kwa hapa labda kwakuwa ulimkuta.
B12 kaondoka tulitegemewa utapewa wewe...wamempa kijana mdogo Kennedy..Kweli wewe wa kuongozwa na Kennedy. Yaani Kennedy unamzidi kila kitu.
umekuwa underrated sana brother, ona hata kwenye FIESTA ulikuwa mc tu...kila kitu alipewa B12..LEO HATA Kennedy anasauti kwako.
chagua yafuatao
a) hama hapo..nenda sehemu yeyote...wewe hamna anayekufikia bongo..hao wakina lommy, b12, sam hamna anayeweza hata kwa nusu yako. Nenda radio zingine ukapate changamoto zingine.
au
b) fungua youtube yako/hapo mjengoni unafanya kazi muda mchache..fungua youtube utakuwa unawahoji wasanii mbali mbali..kwa jina lako wewe youtube itafika 500k miezi 3 tu/...wote wanafanya..b12, salam, sns.. youtube yako ya mziki ifanyeiwe ya habari...
au
c) Achana na mziki unakupotezea muda.
Adam upo underrated sana..Tanzania hii hakuna mtangazaji anayejua kutangaza redioni..stejini..km wewe..
Ondoka hapo..watoto wadogo watakudharau. sepa
View attachment 1469548
Adam, mamy baby na b12 walikua na combination kali sana hasa ule utani kati ya mamy na Adam ilikua poa sana.Yule manzi wa kuitwa mamy bby yupo wapi siku hizi ?
Au ana maternity leave ?
Huyo mami bebi yupo wapiAdam, mamy baby na b12 walikua na combination kali sana hasa ule utani kati ya mamy na Adam ilikua poa sana.
Wenye hiphop zetu tunamuelewa, acha atupe radhaKweli, mfano kipindi cha soso fresh kimeshakuwa kipindi cha hiphop full kupiga mangoma ya hihop
Babra na bongeHiv pj,hando,babra Hasan na bonge
N yupi kwa Sasa yupo pale power breakfast?
Hivi ni wewe au umeamua kutumia jina tu mkuu. Nakumbuka songi moja la mwenye jina hili linaitwa huyu manzi.hahahaha ushauri wenu umechelewa au kuwahi kidogo,ilishaamuliwa Adam ndo atakuwa host wa xxl kuchukua nafasi b12,kuanzia next week
Pj na hando walishaaga kumbe
Pale kuna [emoji117]Masoud KipanyaPj na hando walishaaga kumbe