The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Japo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole.
Tokana na kutopatikana au niseme kutosamehewa kwao kama Josephat Gwajima, tapeli wa kidini tunayemjua, kunaweza kutufumbua macho juu ya uhuni tunaofanyiwa.
Kwanini, gwajima asemehewe lakini si Polepole kama yeye si mhuni mwenzao anayetumika kutupiga changa la macho?
Kwanini Gwajima hakukemea utekwaji na kuyasema aliyosema wakati wa utawala wa muungu wake aliyemuumba kisiasa na kumzawadia ubunge, mwenda zake?
Kama wakitaka tuwaelewe, wawaachie waliotekwa wote na kutwambia waliokufa na kupotezwa wawalete haraka sana vinginevyo gwajima ni mtu wa kushukiwa sana kama chawa na mhuni wa kawaida aneyetumiwa na wahuni wenzake kutupotezea muda.