Tumstukie Askofu Gwajima kwa kutafakari nitayaoandika hapa chini

Japo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole. Tokana na kutopatikana au niseme kutosamehewa kwao kama Josephat Gwajima, tapeli wa kidini tunayemjua, kunaweza kutufumbua macho juu ya uhuni tunaofanyiwa. Kwanini, gwajima asemehewe lakini si Polepole kama yeye si mhuni mwenzao anayetumika kutupiga changa la macho? Kwanini gwajima hakukemea utekwaji na kuyasema aliyosema wakati wa utawala wa muungu wake aliyemuumba kisiasa na kumzawadia ubunge, mwenda zake?
Kama wakitaka tuwaelewe, wawaachie waliotekwa wote na kutwambia waliokufa na kupotezwa wawalete haraka sana vinginevyo gwajima ni mtu wa kushukiwa sana kama chawa na mhuni wa kawaida aneyetumiwa na wahuni wenzake kutupotezea muda.
Tumia akili kuandika
 
Wamemtafuta wamemkosa, ndio maana wanasema wamemsamehe.

Lakini pia, joto kwao limekuwa kubwa wanatafuta namna ya kupunguza maana waumini wa Gwajima siyo wanyonge.
 
Japo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole. Tokana na kutopatikana au niseme kutosamehewa kwao kama Josephat Gwajima, tapeli wa kidini tunayemjua, kunaweza kutufumbua macho juu ya uhuni tunaofanyiwa. Kwanini, gwajima asemehewe lakini si Polepole kama yeye si mhuni mwenzao anayetumika kutupiga changa la macho? Kwanini gwajima hakukemea utekwaji na kuyasema aliyosema wakati wa utawala wa muungu wake aliyemuumba kisiasa na kumzawadia ubunge, mwenda zake?
Kama wakitaka tuwaelewe, wawaachie waliotekwa wote na kutwambia waliokufa na kupotezwa wawalete haraka sana vinginevyo gwajima ni mtu wa kushukiwa sana kama chawa na mhuni wa kawaida aneyetumiwa na wahuni wenzake kutupotezea muda.
Ni Mjinga pekee anaweza kua na Mashaka juu ya Gwajima kuhusu Taifa hili.
 
Ni kweli ni mpumbavu pekee anaweza kumuona gwajima mzalendo na mchumia tumbo chawa na tapeli
 
Back
Top Bottom