The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wanasiasa sio watu wa kuaminiwa sana
Umeandika ujinga mtupuJapo ni watanzania wengi wametekwa na kupotezwa hata kupoteza maisha, hakuna walio maarufu kama vile Mdude Nyagali, Ben Saanane, Koka na zaidi ya wote balozi Humphrey Polepole. Tokana na kutopatikana au niseme kutosamehewa kwao kama Josephat Gwajima, tapeli wa kidini tunayemjua, kunaweza kutufumbua macho juu ya uhuni tunaofanyiwa. Kwanini, gwajima asemehewe lakini si Polepole kama yeye si mhuni mwenzao anayetumika kutupiga changa la macho? Kwanini gwajima hakukemea utekwaji na kuyasema aliyosema wakati wa utawala wa muungu wake aliyemuumba kisiasa na kumzawadia ubunge, mwenda zake?
Kama wakitaka tuwaelewe, wawaachie waliotekwa wote na kutwambia waliokufa na kupotezwa wawalete haraka sana vinginevyo gwajima ni mtu wa kushukiwa sana kama chawa na mhuni wa kawaida aneyetumiwa na wahuni wenzake kutupotezea muda.
Ni kweli ila si upumbavu kama wako. Shukrani kwa kupitia uzi wangu. Karibu tena ili iiingie zaidi.Umeandika ujinga mtupu
Ni kweli ila si hovyo kama unachoongea hapa.Ni kweli kabisa. Ila hii analysis ya huyu bwana ni bomu.
Kajifunze kuja na vitu vya maana na siyo ujinga ujinga kama kobaziNi kweli ila si upumbavu kama wako. Shukrani kwa kupitia uzi wangu. Karibu tena ili iiingie zaidi.
Ni kweli. Asiyejua maana haambiwi maana. Nashukuru sijaandika upupu kama ulioandika bila kuleta hayo ya maana mwanangu. Sishangai kunitukana kama ushafanya hivyo kwa wazazi wako. Karibu tena upitie uzi wangu ikuiingie uzuri.Kajifunze kuja na vitu vya maana na siyo ujinga ujinga kama kobazi
Umeandika chuki binafsi zako tu. Anyway acha niishie hapaNi kweli. Asiyejua maana haambiwi maana. Nashukuru sijaandika upupu kama ulioandika bila kuleta hayo ya maana mwanangu. Sishangai kunitukana kama ushafanya hivyo kwa wazazi wako. Karibu tena upitie uzi wangu ikuiingie uzuri.
Si kweli. Kwani gwajima si tapeli na askofu wa kujipachika anayewaibia. mazwazwa waliokata tamaa au hakupeewa ubunge na magufuli? Chuki hapa iko wapi mwanangu?Umeandika chuki binafsi zako tu. Anyway acha niishie hapa
Yaani hata Mimi nashangaa Kwa Nini Hizi takataka zinazagaa mitaani alisema Gwajima amesamehewa ni mwigulu lakini anayeshambuliwa ni Gwajima... hata kama una chuki na mtu jaribu kujenga hoja kidogoHivi Kwann mungu anatuondelea Watu muhimu kwenye Nchi anatuachia Taka taka hizi!!
Shangaa anasamehewa gwajima si kanisa! Kwani alikosa nini? Alishitakiwa wapi? Alihukumiwa wapi? Huoni kuwa ni sanaa? Amesamehewa makosa gani na kwanini wengine hawasamehewi.Yaani hata Mimi nashangaa Kwa Nini Hizi takataka zinazagaa mitaani alisema Gwajima amesamehewa ni mwigulu lakini anayeshambuliwa ni Gwajima... hata kama una chuki na mtu jaribu kujenga hoja kidogo
Unaposema umemsamehe maana yake amefanya kosa au amekiri kosa wangetuambia kwanza kosa lake ndipo waseme kupitia kosa hilo amesamehewa... Hawa jamaa wanatufanya sisi wapumbavu Kila kukichaShangaa anasamehewa gwajima si kanisa! Kwani alikosa nini? Alishitakiwa wapi? Alihukumiwa wapi? Huoni kuwa ni sanaa? Amesamehewa makosa gani na kwanini wengine hawasamehewi.
Ni kweli ila siyo kama aliyeko mirembe kama wewe.Umekunywa nini asibuhi yote hii umeandika mithili ya mtu alieamkia kilabuni
Mkuu mambo ya imani huwezi mpangia mtu. Kuna watu kama kobazi wanaamini majini ni ndugu zao. Hayo ya Gwajboy vyema kama ungesema hoja zake zina msingi au hazina/siyo kweliSi kweli. Kwani gwajima si tapeli na askofu wa kujipachika anayewaibia. mazwazwa waliokata tamaa au hakupeewa ubunge na magufuli? Chuki hapa iko wapi mwanangu?