BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Samatta nae anajishtukia tu .
angeona akina Sterling wanavosemwa je ? Juzi Xhaka katishiwa kuvunja miguu tena na mashabiki wake mwenyewe . Yeye acheze mpira aachane na mambo ya mashabiki
watanzania ukiwachekea sana wanakuharibia hadi kibarua chako na uswahili wao wa kipumbafu.
bado wajinga wataenda kwenye account ya club na kandika mashudu yao.Kwa sasa naona labda afunge comment huko instagram ,halaf apige kimya kabisa kama mwaka hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha mkuu umenifurahisha kweli,eti shuti ulilopiga ulijisikiajekuna watu wanshinda wapo huk kazi kumuhoji, vipi pale ulipopiga shuti ulijickiaje? vipi misuli leo inauma km jana?
bado wajinga wataenda kwenye account ya club na kandika mashudu yao.
Atuvumilie tu maana yeye ndiye mbongo wa kwanza kucheza EPL na Aston Villa ndio klabu ya kwanza ya EPL kusajili Mtz! Baadae tutazoea na mambo yatosonga kama kawaida! Kila la kheri Mbwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo mlivyo, angalia jinsi wanavyomsema JPM, hii ni laana itawaangamiza tu vijana wa kitanzaniaSisi wabongo sijui tupoje mtu unaingia kwenye official page ya klabu, wachezaji hadi kocha kuporomosha matusi sasa hiyo ndio kumsaidia kweli mchezaji wetu au ni kujenga picha mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja nimeona anawauliza Aston Villa yakuwa wiki moja yake Samata si imeshaisha wamlipe Mshahara wake wa wiki,Dah wabongo bwana hadi mshahara wa mtu wanauulizia