Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

Tumulike ufisadi: Magufuli tarehe 29/11/2015 alisema pesa za sherehe za uhuru za December 2015 zikapanue barabara ya Morocco

HUNA SHUKRANI KABISA NAAMINI KM UPO DAR ULIKUWA UNAPITA HIYO BARABARA, WATANZANIA HATA AJE MALAKIKA ...... JPM HACHAFUKI HATA UFANYEJE.
Jitu shetani limeua watu chungu nzima
 
Nachokumbuka, Tanzania iliomba fedha Japan kujenga barabara husika lakini hazikuja.. Magufuli akaamua kujenga kwa fedha za sherehe ya uhuru baada ya kuona mizinguo, baadae Serikali ya Japan ikaleta fedha lakini nadhani kwakuwa zilikuwa zimeshapangwa na kupigiwa mahesabu kutumika barabara ya Morocco ikabidi zizame tena hapohapo..
 
Mjomba nakusoma ila bila kuwapigia kelele sawa sawa hawa mabaradhuli hawawezi kutambua uovu wao uliopitiliza.

Kingai, Mahita, Goodluck na Jumanne wajue tunawasubiria kwa hamu. Wana maelezo muhimu ya kutupatia.
Naona unaweza kuwaambia tu uhuni wao nikiamini hakuna asieujua, kwangu kuendelea kumuanika marehemu naona humtendei haki, muache apumzike alipopumzika.
 
Naona unaweza kuwaambia tu uhuni wao nikiamini hakuna asieujua, kwangu kuendelea kumuanika marehemu naona humtendei haki, muache apumzike alipopumzika.
Hapana, alitenda makosa makubwa, acha wamsute hata akiwa maiti. KUMBUKA bado mpàka leo Hitler anasakamwa kwa maovu yake. Mahatma Gandhi anasakamwa kwa uzuri wake etc etc.
Where is Azory , Ben, sandarusi, MKIRU etc etc
 
Fikira za watanzania za ajabu..hizo billion nne zilipanua kutoka two lane wakaweka 3 lane..hzi zilizokuja zimeongeza upana na urefu na mitaro nk
Wananchi wanataka maelezo na uwazi katika kutekeleza miradi ya maendeleo na siyo longo longo!

Sasa serikali inashindwa vipi kutoa ufafanuzi?
 
Naona unaweza kuwaambia tu uhuni wao nikiamini hakuna asieujua, kwangu kuendelea kumuanika marehemu naona humtendei haki, muache apumzike alipopumzika.

Tuko pamoja mkuu - ndiyo maana nimeirejelea ile post kuhakikisha lengo linabakia "pin pointed."
 
Jitu shetani limeua watu chungu nzima
Watu bwana, aliwaua akina nani? mbona watu walikuwa wanamwagiwa na kutolewa macho hata kabla ya JPM, hata sasa dola ipo ukifanya unataka kuwa juu ya usalama wa nchi utashughulikwa tu, kuna watu wanafikiri kuongoza nchi ni kitu chepesi. ukipewa onyo acha husikii, kila siku ukiamka unamtukana Rais, ukiingia mtandaoni unamtukana Rais. kumbuka Rais ni taasisi, yawezekana hata huyo rais hajui ni watu gani wanakuchkulia hatua. Punguzeni jazba.
 
Back
Top Bottom