Tumuombe radhi ambao aliposema tumuombee, hatukujua anamaanisha nini

Kwa hiyo tumshukuru shetani kwa kumpeleka ulaya yule mshikishwa ukuta?

Hayo unayasema wewe kwa aibu. Mtu aliyepona mauti utamtukana tusi gani likolee?. Endelea na matusi wakati unajichoresha tuu ulivyo hovyo.

Ukweli ni kwamba Lissu kapona dikteta kafa tena kwa aibu na kwa kufichwa, chezea karma wewe.
 
"binadamu tutende wema na haki" well said
 

Yule jamaa siku natangaziwa amekufa , nilijua hakuna mkubwa zaidi ya Mungu. Kiburi Cha mwanadamu mavumbini tu.
 
Tumuogope Mungu. Kiongozi wetu huyo alikuwa na mashine maalum kwenye moyo. Mungu ndiye anaturuzuju uhai lakini kwa ujuzi wa binadamu anayeishi kwa msaada wa mashine hizo anakadriwa kuishi miaka wastani wa kumi. Kiongozi huyo alishafikisha miaka hiyo. Tusikufuru kwa kudhania mambo mabaya yasiyokuwepo. Hiyo ndiyo shida ya watanzania hasa wasiomcha Mungu kila kifo hutafutiwa sababu ambayo siyo. Mara kalogwa, kauawa nk. Hayati licha ya kwamba alikuwa alipewa masharti ya kutokusafiri kwenye ndege masafa marefu alihalalisha kwamba anabana matumizi ili kuonekana mzalendo. Tumwogope Mungu kwani kila mtu atakufa kwa tarehe zake.
 
Sisi Watanzania tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea huyo mtu kwani alikuwa analipeleka Taifa letu kuzimu kabisa.
 
Sasa naelewa kwanini alisema tumuombee, alijua Maadui zake na mbinu zao, yeye akajikabidhi kutetea wasio na nguvu.

APUMZIKE KWA AMANI!
-Yule alipuuza masharti ya korona ikapita naye.
-Yule alikufuru Mungu kwa kuwananga maaskofu waliokuwa wamevaa barakoa kanisanini katikati ya wimbi la korona. Mungu akasema usinitanie.
 
Kama kwenda ulaya ni kushikishwa ukuta, basi viongozi wote wa Afrika hushikishwa sana ukuta, maana kila siku wanaenda huko kwa wazungu kuomba misaada.
Aliyetaka kumuua kafa almost two years ago sasa mbona kagoma kurudi bongo!? Au mzimu wa magu utatoka chato kuja kummaliza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni uthenge nyie wapumbavu.watanzania walishawapuuzia sababu ya propaganda zenu za kitoto na kipumbavu eti ben saa nane mara azory gwanda ,risasi tundulisu mbona wakina mwangosi na ulimboka chacha wangwe hampigi kelele kuwahusu Na wale viongozi wote wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…