Tumuombe radhi ambao aliposema tumuombee, hatukujua anamaanisha nini

Tumuombe radhi ambao aliposema tumuombee, hatukujua anamaanisha nini

Aliyetaka kumuua kafa almost two years ago sasa mbona kagoma kurudi bongo!? Au mzimu wa magu utatoka chato kuja kummaliza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni uthenge nyie wapumbavu.watanzania walishawapuuzia sababu ya propaganda zenu za kitoto na kipumbavu eti ben saa nane mara azory gwanda ,risasi tundulisu mbona wakina mwangosi na ulimboka chacha wangwe hampigi kelele kuwahusu Na wale viongozi wote wapo.
Mthenge mwenyewe na babako mzazi aliyekurithisha huo uthenge
 
Kitabu kitakatifu Bible imeandika wazi kabisa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa mtu uiombe maiti msamaha hivi utakuwa na akili thabiti na timamu kichwani kabisa ?

"Maiti haijui lolote na haiwezi fanya chochote"
Chochote kinacho fanywa kwaajili ya kumuheshimisha marehemu yoyoteyule ni kwaajili ya waliohai.
 
giphy.gif
RIP Ben,
RIP Akwilina,
RIP Azory,
RIP Kanguye,
RIP Diwani wa Dar,
RIP diwani wa Mahenge.
Lisu, Mungu akujalie maisha marefu, na katika kukulinda uhai wako, ukuu wa Mungu upate kutukuzwa.

Pamoja na mapungufu yetu mengi, tuthamini, tuutunze uhai wa wenzetu maana una thamani sawa na wetu.

Uuaji huleta laana. Tujiepushe na laana ili kupokea neema ya Mungu.
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza! Lissu hatorudi maana bado ana mashakha na juu ya tukio ili.
Mpwa wa marehemu aliapa kuwa baada ya kumkosa Tundu Lisu kwa risasi, sasa watamwua kwa sindano ya sumu. Muuaji na wenzake wengi bado wapo ndani ya Serikali.
 
Hayo unayasema wewe kwa aibu. Mtu aliyepona mauti utamtukana tusi gani likolee?. Endelea na matusi wakati unajichoresha tuu ulivyo hovyo.

Ukweli ni kwamba Lissu kapona dikteta kafa tena kwa aibu na kwa kufichwa, chezea karma wewe.
Vipi dikteta kafa akiwa na miaka mingapi?
Amekalia nyadhifa ngapi?
Yeye ameacha legacy wewe utaacha nini?

Hongera utaishi milele.
 
Uhai ni njia ya kifo,
Lazima sote tufe, utende mema ama mabaya lazima umauti utufikie,ni jambo la wakati tu.

So afya isikufanye ukajiona wewe ni imara sana,angali huijui siku wala saa yako.

Unashangalia kifo kama unaishi milele,
Usipende kuhumu usije ukahukumiwa mana pia hata wewe ukizichunguza njia zako sio mwema.
 
Being wise is accompanied with some good and a few bad things to some( ni vumilie hivyo hivyo na kiingereza changu cha ugoko ha ha haaaa)
 

Attachments

  • VID-20221229-WA0015.mp4
    4.6 MB
Mpwa wa marehemu aliapa kuwa baada ya kumkosa Tundu Lisu kwa risasi, sasa watamwua kwa sindano ya sumu. Muuaji na wenzake wengi bado wapo ndani ya Serikali.
Lissu hana uhakika na watu wake
 
Yule jamaa siku natangaziwa amekufa , nilijua hakuna mkubwa zaidi ya Mungu. Kiburi Cha mwanadamu mavumbini tu.
Ila yule mzee alijipa mamlaka makubwa sana. Nadhani yeye ni mmoja ya watawala wachache walioifaidi vilivyo hii katiba yetu mbovu ya 1977.
 
Kama kwenda ulaya ni kushikishwa ukuta, basi viongozi wote wa Afrika hushikishwa sana ukuta, maana kila siku wanaenda huko kwa wazungu kuomba misaada.
Hao wanaenda na kurudi yeye kakatalia huko kwa kunogewa
 
Back
Top Bottom