SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mthenge mwenyewe na babako mzazi aliyekurithisha huo uthengeAliyetaka kumuua kafa almost two years ago sasa mbona kagoma kurudi bongo!? Au mzimu wa magu utatoka chato kuja kummaliza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni uthenge nyie wapumbavu.watanzania walishawapuuzia sababu ya propaganda zenu za kitoto na kipumbavu eti ben saa nane mara azory gwanda ,risasi tundulisu mbona wakina mwangosi na ulimboka chacha wangwe hampigi kelele kuwahusu Na wale viongozi wote wapo.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza! Lissu hatorudi maana bado ana mashakha na juu ya tukio ili.Huyu ndio wakuombewa sio yule mnafiki mpenda sifa.
Amina!.Mungu ailaze roho yake mahali pema[emoji120]
Chochote kinacho fanywa kwaajili ya kumuheshimisha marehemu yoyoteyule ni kwaajili ya waliohai.Kitabu kitakatifu Bible imeandika wazi kabisa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa mtu uiombe maiti msamaha hivi utakuwa na akili thabiti na timamu kichwani kabisa ?
"Maiti haijui lolote na haiwezi fanya chochote"
RIP Ben,
Mpwa wa marehemu aliapa kuwa baada ya kumkosa Tundu Lisu kwa risasi, sasa watamwua kwa sindano ya sumu. Muuaji na wenzake wengi bado wapo ndani ya Serikali.Usilolijua ni sawa na usiku wa giza! Lissu hatorudi maana bado ana mashakha na juu ya tukio ili.
Vipi dikteta kafa akiwa na miaka mingapi?Hayo unayasema wewe kwa aibu. Mtu aliyepona mauti utamtukana tusi gani likolee?. Endelea na matusi wakati unajichoresha tuu ulivyo hovyo.
Ukweli ni kwamba Lissu kapona dikteta kafa tena kwa aibu na kwa kufichwa, chezea karma wewe.
R.I.P wahanga wa mauaji ya MKIRU (Mkuranga, Ikwiriri, Rufiji)Uuaji huleta laana. Tujiepushe na laana ili kupokea neema ya Mungu
Lissu hana uhakika na watu wakeMpwa wa marehemu aliapa kuwa baada ya kumkosa Tundu Lisu kwa risasi, sasa watamwua kwa sindano ya sumu. Muuaji na wenzake wengi bado wapo ndani ya Serikali.
Halafu mpaka leo wahusika wa hili tukio eti ni watu wasiojulikana!! 😃
..tukio hili.
Ila yule mzee alijipa mamlaka makubwa sana. Nadhani yeye ni mmoja ya watawala wachache walioifaidi vilivyo hii katiba yetu mbovu ya 1977.Yule jamaa siku natangaziwa amekufa , nilijua hakuna mkubwa zaidi ya Mungu. Kiburi Cha mwanadamu mavumbini tu.
Ona thenge jingine hili hapa.Mthenge mwenyewe na babako mzazi aliyekurithisha huo uthenge
Hao wanaenda na kurudi yeye kakatalia huko kwa kunogewaKama kwenda ulaya ni kushikishwa ukuta, basi viongozi wote wa Afrika hushikishwa sana ukuta, maana kila siku wanaenda huko kwa wazungu kuomba misaada.
Hao wanaenda na kurudi yeye kakatalia huko kwa kunogewa