Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

Tumuombee Faiza Ally, mzazi mwenza wa Sugu, ana maumivu makali sana

we! we! uone ex wako aliyekujeruhi hisia zako aki move on,unabakia kumtazama tu insta na profiles fake 😅😅😂😂🤣🤣
 
Daah yaan mpaka imani iliniingia faiza pamoja na kuzaa tena mtoto mwingine bado anampenda sugu tu
Uzuri wa mtu upo machoni kwa muhusika
Baba li handsome kweli lakini analiliwa sugu
Pole Faiza utapata saidi ya sugu
 
we! we! uone ex wako aliyekujeruhi hisia zako aki move on,unabakia kumtazama tu insta na profiles fake [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]🤣🤣

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mapenzi ni hisia,yakienda ndivyo sivyo hisia udhohofisha mwili;cha kujifunza,tupende tunapopendwa
 
Daah yaan mpaka imani iliniingia faiza pamoja na kuzaa tena mtoto mwingine bado anampenda sugu tu
Uzuri wa mtu upo machoni kwa muhusika
Baba li handsome kweli lakini analiliwa sugu
Pole Faiza utapata saidi ya sugu
Mbunge kwa mwezi analipwa bei gani vile? Hana lolote huyo.
 
Sidhani kama huyu dada ni attention seeker, kazungumza yaliyoujaza moyo wake, namuombea kwa Mungu avuke salama, kila la kheri Faiza.
Huyu dada utakuwa humfahamu vizuri.... amewahi kujipiga picha akiwa labor na k inaonekana then akapost insta..
Wewe unaona akili zimo hapo
 
Mimi nawashangaa nyie mnaomchukulia siriaz huyu dada chizi[emoji3]
 
1567487353585.png
 
Yeye makonda kama anataka amle faiza anyooke sio kuzunguka na kutafuta kiki.
Ila bashite atakuwa hanaga X yeye
uyo naye atulize makalio, kwani siku izi malaya akiamua kuzaa ni lazima mwanaume amuoe au alipwe fidia, anataka kufanya vitu ambavyo avina mashiko, kwan faiza amekuwa wa kwanza kuzalishwa? yeye angesemea child support
 
Sina habari nae tena,
"Hivi sasa nasonga mbele, maisha yangu bila ya yeye...."
Hivi sasa nasonga mbele
Maisha yangu bila ya wewe
Nawaachia wenzangu
Wajaribu kuishi na wewe
Umasikini ni jadi kwangu
Na wala siwezi kupata kiwewe
Na sikuwa kifaranga cha kuku
Mbele yako wewe bwana mwewe
 
Back
Top Bottom