Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Majina mengine yanakuja na mikosi. "JINI"! pole sana dada yetu.
 
Tatizo wasanii wetu wa kibongo ni waongo sana wanashindwa kutofautisha kati ya maisha halisi na uigizaji. Huyu unaweza kusikia kuwa ni kick tu. Tangu Salma maarufu kama Nisha asema amebakwa kumbe ilikuwa kick nimekosa imani na hawa bongo movies

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya majina au character wanazocheza huwa haziwaachi salama, yule dada aliekua kwenye nsyuka kuna siku alishuhudia kua ile filamu ilimletea magonjwa makubwa mpaka alipoombewa

Mwingine ni Saladin, aliumwa mapepo mpaka kaokoka ndiyo amepona .

Kabula ajachelewa aende kanisani atapona kabla hali haijawa kuwa mbaya, nimemuonea huruma sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh,i hope you overcome this mwaya Jini Kabula,

sad,

kama tuliambiwa Mungu ana mipango na sisi tangu tuzaliwe.......kwa nini wengine maisha yao yawe hivi???

Anaweza kupona akili,bado hilo lingine,,,,mmnh

hio ni mwili kuwa in auto mode,am sure atapona ila baada ya kupona,sijui ata face vipi maisha yake kama muathirika,sad.
 
si kuna dawa ile ya ukimwi imegunduliwa huko Israel................???
 
Kwa wanaomfahamu wamsaidie kumpeleka Emaus Centre kwenye kituo cha maombezi cha Kanisa Katoliki nyuma ya stendi ya mabasi ya mkoa Ubungo. Pale atakutana na watumishi ambao watamsaidia ....Yesu tu ndio tiba ...
 
Nipo poa.. nimepumzika tu kwa sasa na kuelekea miaka 10 humu labda nitaacha kudonoa herufi niwe msomaji tu eeeeh... niliaga kule kuwa nachomoka kidogo. Ila wengine walianza ya siasa kule nayo iliniboa kiaina kuachia mapema zaidi.
rudi mkuu,,hata kama kuna tofauti za itikadi usizijali..binadamu hatuwezi kuwa sawa
 

Ili iwe rahisi kuombewa hemu tupe Jina lake kamili, ila mimi siwezi mwombea mtu anayeitwa (JINI KABULA) not one bit ....
 
Wewe ni Dr umempima?
 
nanukuu "" yupo kwenye matatizo makubwaa" mtoa post anashabikia matatizo au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…