Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Kuna kipindi iliripotiwa ana hang out na Mr Nice,ni miaka mingi kidogo
May Allah bless Me and You
!
!
Hana akaunti insta nikakague
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi iliripotiwa ana hang out na Mr Nice,ni miaka mingi kidogo
May Allah bless Me and You
Sina hakika!
!
Hana akaunti insta nikakague
rudi mkuu,,hata kama kuna tofauti za itikadi usizijali..binadamu hatuwezi kuwa sawaNipo poa.. nimepumzika tu kwa sasa na kuelekea miaka 10 humu labda nitaacha kudonoa herufi niwe msomaji tu eeeeh... niliaga kule kuwa nachomoka kidogo. Ila wengine walianza ya siasa kule nayo iliniboa kiaina kuachia mapema zaidi.
kwanini usimuunganishe huyo jamaa na wizara ya afya kama kweli anatibu ukimwi?
Habarini....Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika
Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient yaani ameshakuwa mgonjwa wa akili....hili tatizo kama likimzidia tusishangae akapewa Reffaral kwenda Mirembe Dodoma! Ili asifike hukoo anahitaji msaada wetu na maombi yetu
Unaambiwa kwa stori za kunyapia nyapia..Jini kabula alipima Ugonjwa Fulani Miezi 3 iliyo pita baada ya kubainika kuwa ni Muathirika ndipo alipo pata msongo wa mawazo na kupelekea kulazwa kwenye wodi la vichaa kutokana na hali yake....sasa Jini Kabula anahitaji maombi yetu na msaada wetu katika halii aliopo sasa
Ulikuwa umkimuuliza anaongea vitu visivyo eleweka mara yeye ni wa musoma mara marekani mara pacha wake Rihanna yaani kwa wanao mfahamu mgonjwa wa Akili watakuwa wanaelewa sasa ili dada etu asifike huko Mirembe anahitaji faraja yetu na msaada wetu....tusipoteze kipaji hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni Dr umempima?Tatizo starehe sana tena hawa bongo movie wanagawa hovyo
Sasa presha ,mstuko ,kuchanganyikiwa sababu ya kuathirika ?wakati anagawa papuchi hovyo hakufikiria hayo
Atulie zake akubali hali halisi
Na hii iwe fundisho kwa wasanii wa Bongo movie wote maana umalaya kwao ni fashion
nanukuu "" yupo kwenye matatizo makubwaa" mtoa post anashabikia matatizo au?Habarini....Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika