Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Huo ugonjwa aliopima wa kumfanya achanganyikiwe ni upi wa kiwa kwenye ubora wao huwaga hawashauriku wanasema wanakula maisha wakiteleza eti tuwaombe hivi leo hii Gigy Money akiteleza akawa hoi bado mtasema tumuombe wakati hasiki la yoyote yule now akiwa kwa ubora wake KILA MTU ATAVUNA ALICHO PANDA JAMBO BORA NI KUMREJEA MUUMBA KABLA YA KUNGOJA OMBEWA NA WATU BAKI UKIWA HUJITAMBUI NA HOI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usha concluded na kukonkludi kuwa ni mwathirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ampokee Yesu Kristu muweza wa yote hakuna linaloshindikana kwake
 
Haya majina jamani wakati mwingine kama sio mara zote yanabeba maana halisi ya maneno yaliomo kwenye jina husika,inabidi tuwenayo makini sana,kwanini mtu ukubali kuitwa jini...?

Sony Z3
 
Jini Kabula amevuna alichopanda .. Hivyo sioni Sababu ya kutushirikisha Kwa hali yake ikiwa kila alichokuwa anakifanya alikuwa akijua madhara yake.. Watoto wetu Umaarufu unawaponza sasa wanapokuja kuanguka Wanahitaji huruma ya wale waliokuwa wanawaona hawana hadhi ya kuwajali ndiyo wawe kimbilio.. Hapana Mkuu kwa hili Muache avune alichopanda na liwe fundisho kwa wasanii wengine..

Samahani kwa kuwa Mbali na Hoja yako ,.. Ila sisi ambao tumekuwa tukijityolewa kuwashauri tunajua tunayojibiwa.
 
Reactions: SDG
Chuzi juzi tuu alikuwa na kashifa ya kutembea na wasanii wake huko kambini....hakika ujana maji ya moto..
Lakini kila mambo yanayo tupata leo asilimia kubwa....ni matokeo ya matendo yetu huko nyuma.....
 
Reactions: SDG
da umenikumbusha ndende,jamaa alikuwa bishoo kinoma
 
Reactions: SDG
Chuzi juzi tuu alikuwa na kashifa ya kutembea na wasanii wake huko kambini....hakika ujana maji ya moto..
Lakini kila mambo yanayo tupata leo asilimia kubwa....ni matokeo ya matendo yetu huko nyuma.....
Hizi mambo alikuwa akihusishwa nazo sana.
INASEMEKANA Kabula amepata mtoto ambaye ni muunganiko wa hao watu wawili

May Allah bless Me and You
 
Hujakosea upo kwenye mada

May Allah bless Me and You
 
Mume wa mtu hajawahi kumuacha mtu salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…