Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

umesema kweli mdada,wengi wanaangamia kwa kukosa access to treatment for mental health problem,sijui siku hizi km zimeongezeka,ila nimekumbuka,hospital zilizkuwepo zilikua mbili tu;muhimbili Dar,na Mirembe Dodoma,sad aisee,


Na kwa hali ya Uchumi ilivyo kwa sasa hapa nchini, the worst is bound to happen....msongo wa mawazo itakua ndio ugonjwa mkuu kwa jamii kubwa sana hapa nchini na wengi hawajui kama ni ugonjwa so wengi tunawapoteza either kwa mauti ya mapema ama kupoteza akili!
 
Kanisani wanatibu ngwengwe???

Delta Force
 
Nkakumbuka kausemi "mi natokea dar"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nguvu iliyopo nyuma ya jina la mtu wewe? Tafuta watu walio vizuri kiroho wakufahamishe.
 
Atafunga akiwa kwenye hali hiyo kweli? Kama umefunuliwa hilo unaweza kufunga kwaajili yake na Mungu wa mbinguni atakubariki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndende alioa yuko vzur alimpa mkewe ndinga siku ya harusi
 
Yaani akili za kwenda mpaka Global Publishers alikua nazo, ila za kujua ndugu zake halisi hakua nazo??
 
Kuna kipindi iliripotiwa ana hang out na Mr Nice,ni miaka mingi kidogo

May Allah bless Me and You
[emoji79] [emoji79]
Mr nice tenaa! Si alitajwa kwene orodha ya yule mkata viuno Aston villa( rip)??
 
Reactions: SDG
Mola amsimaie apone. Ila majina mengine mtu anayejipa ni kujiletea balaa tu maishani.
Tumumbuke kuwa hakujipa hilo jina bayabaya, alipewa tu na mashabiki wakati akiigiza kama jini kwenye tamthilia, watu wameliendeleza hata baada ya tamthilia kuisha
 
Ktk listi ya mabwana zake siku ile ktk kipindi cha shilawadu alimtaja abdu banda na niyonzima,kama hawa mabwana walipita kavukavu dah mungu awanusuru
 
Sawa Ila Kuna Watu Wanahitaj Maomb Zaid Ya Kabula Ila Hatujawajua Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…