Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
umesema kweli mdada,wengi wanaangamia kwa kukosa access to treatment for mental health problem,sijui siku hizi km zimeongezeka,ila nimekumbuka,hospital zilizkuwepo zilikua mbili tu;muhimbili Dar,na Mirembe Dodoma,sad aisee,
Na kwa hali ya Uchumi ilivyo kwa sasa hapa nchini, the worst is bound to happen....msongo wa mawazo itakua ndio ugonjwa mkuu kwa jamii kubwa sana hapa nchini na wengi hawajui kama ni ugonjwa so wengi tunawapoteza either kwa mauti ya mapema ama kupoteza akili!