Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Habarini....
Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika

Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient yaani ameshakuwa mgonjwa wa akili....hili tatizo kama likimzidia tusishangae akapewa Reffaral kwenda Mirembe Dodoma! Ili asifike hukoo anahitaji msaada wetu na maombi yetu

Unaambiwa kwa stori za kunyapia nyapia..Jini kabula alipima Ugonjwa Fulani Miezi 3 iliyo pita baada ya kubainika kuwa ni Muathirika ndipo alipo pata msongo wa mawazo na kupelekea kulazwa kwenye wodi la vichaa kutokana na hali yake....sasa Jini Kabula anahitaji maombi yetu na msaada wetu katika halii aliopo sasa

Ulikuwa umkimuuliza anaongea vitu visivyo eleweka mara yeye ni wa musoma mara marekani mara pacha wake Rihanna yaani kwa wanao mfahamu mgonjwa wa Akili watakuwa wanaelewa sasa ili dada etu asifike huko Mirembe anahitaji faraja yetu na msaada wetu....tusipoteze kipaji hicho
==============================
 
Pole zake. Kwa vile ni al-maarufu wapo wataalamu watajitokeza kumpatia tiba muafaka
 
Tatizo starehe sana tena hawa bongo movie wanagawa hovyo

Sasa presha ,mstuko ,kuchanganyikiwa sababu ya kuathirika ?wakati anagawa papuchi hovyo hakufikiria hayo

Atulie zake akubali hali halisi

Na hii iwe fundisho kwa wasanii wa Bongo movie wote maana umalaya kwao ni fashion
 
Habarini....Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika

Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient yaani ameshakuwa mgonjwa wa akili....hili tatizo kama likimzidia tusishangae akapewa Reffaral kwenda Mirembe Dodoma! Ili asifike hukoo anahitaji msaada wetu na maombi yetu

Unaambiwa kwa stori za kunyapia nyapia..Jini kabula alipima Ugonjwa Fulani Miezi 3 iliyo pita baada ya kubainika kuwa ni Muathirika ndipo alipo pata msongo wa mawazo na kupelekea kulazwa kwenye wodi la vichaa kutokana na hali yake....sasa Jini Kabula anahitaji maombi yetu na msaada wetu katika halii aliopo sasa

Ulikuwa umkimuuliza anaongea vitu visivyo eleweka mara yeye ni wa musoma mara marekani mara pacha wake Rihanna yaani kwa wanao mfahamu mgonjwa wa Akili watakuwa wanaelewa sasa ili dada etu asifike huko Mirembe anahitaji faraja yetu na msaada wetu....tusipoteze kipaji hicho

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeanza vizuri sana..lkn umemalizia vibaya kwa kuandika "tusipoteze kipaji hicho"
 
Hilo ni jina la chatacter aliyo cheza kwenye tamthilia ambayo iliwika sana miaka ya nyuma, siyo kwamba amejipachika from nowhere!

Nimeona clip yake akihojiwa, inasikitisha. Wengi wanadai alikuwa ana tembea na mume wa mtu na kujigamba sasa ndio matokeo yake kachizika.🙁
 
Weka hapa
 
Ni demu wa nani vile..Amekuwa kichaa..Nimejaribu kuunganisha dots nimebaki nacheka.
 
Back
Top Bottom