Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Huyo mbona inafahamika alishakanyaga waya sikunyingi, so sidhani kama hiyo ndio sababu, maisha ya uchangudoa aliyoyaishi huo ugonjwa hauwezi mpa mshtuko. Mara ya mwisho nilimuona kwenye kipindi cha shilawadu wakigombea bwana na mwenzake kama miezi miwili iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Niliona mahojiano alikuwa yeye na rafiki yake wanahojiwa aisee inaonekana ni mtu wa kudanga danga na kula vichwa kabisaa
 
Tatizo starehe sana tena hawa bongo movie wanagawa hovyo

Sasa presha ,mstuko ,kuchanganyikiwa sababu ya kuathirika ?wakati anagawa papuchi hovyo hakufikiria hayo

Atulie zake akubali hali halisi

Na hii iwe fundisho kwa wasanii wa Bongo movie wote maana umalaya kwao ni fashion

punguza kunyanyapaa maana kuathirika yyt anaweza kuathirika iwe ndg yako, rafiki au yy mwenyewe.
 
Jumba la dhahabu

May Allah bless Me and You
 
punguza kunyanyapaa maana kuathirika yyt anaweza kuathirika iwe ndg yako, rafiki au yy mwenyewe.
Hakuna sehemu nimenyanyapa kunyanyapaa maana yake kumtenga mtu sababu ya ugonjwa wake

Hapa nimemchana ukweli asitu-ektie ,ndugu yangu ,mimi au yeyote anaweza ila kwa mtu kama yeye kupata na kuanza kujifanya kastuka,haamini,kachanganyikiwa ni ujuha
 
Picha Mleta Mada.
Tulishamsahau Anafananaje.
_20170802_065927.JPG
_20170802_065910.JPG

May Allah bless Me and You
 
Hilo ni jina la chatacter aliyo cheza kwenye tamthilia ambayo iliwika sana miaka ya nyuma, siyo kwamba amejipachika from nowhere!

Nimeona clip yake akihojiwa, inasikitisha. Wengi wanadai alikuwa ana tembea na mume wa mtu na kujigamba sasa ndio matokeo yake kachizika.🙁
Eeeeh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]

May Allah bless Me and You
 
Huyo mbona inafahamika alishakanyaga waya sikunyingi, so sidhani kama hiyo ndio sababu, maisha ya uchangudoa aliyoyaishi huo ugonjwa hauwezi mpa mshtuko. Mara ya mwisho nilimuona kwenye kipindi cha shilawadu wakigombea bwana na mwenzake kama miezi miwili iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasichana wa uswahilini ndo wenye tabia hizo,JINI KABULA angesimama kwenye tasnia angekua msanii mkubwa sana,ila sasa lile JUMBA LA DHAHABU liliwalevya sana,kuanzia producer/director hadi waigizaji.Hao akina Ndende wapo mwananyamala wanazurura tu,sijui kiliwapata nini?
Nilishawah kuiskia stori ya kugombea bwana kwenye redio,siku za nyuma

May Allah bless Me and You
 
Picha Mleta Mada.
Tulishamsahau Anafananaje.

Al maarufu huwa hawana rafiki wa ukweli. Ukiwa na shida ndipo utashangaa wale wote waliokuwa wanakushobokea wako wapi... Hutoamini macho yako kujiona umebaki alone.
Pole zake. Kwa vile ni al-maarufu wapo wataalamu watajitokeza kumpatia tiba muafaka
 
😀😀 Mungu anisamehe, baada ya kumuonea huruma nilianza kucheka nilipo angalia clip yake akihojiwa na jamaa wa global tv. Dada zetu wakiwa kwenye chart unaweza ukasema ni wamarekani kweli. Sasa alivyompigia wema sepetu 😀 kuna lafudhi flan hiv had nikashangaa ndo kabula huyu kwel?,

Anyway watu wamsaidie huyu mdada kwel hali yake mbaya
 
Taja movie tano zake kwa majina n baazi ya majina 5 kwa kila movie [emoji327] aliowashilikisha
 
Doh... enzi za jumba la dhahabu nilikua mdogo ili nilikua namtamani... kabula mzuri usipime

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom