Tumuombee Mwenzetu

Tumuombee Mwenzetu

Status
Not open for further replies.
Tuendelee kumuombea mungu ampe mtanzania mwenzetu uwezo wa kupambana na ugonjwa huo
 
Jina ni muhimu jamani, kuna members hapa wanakera na kuudhi kila kukicha na wakati mwingine unatamani wasingekwepo kabisa na labda kwa yale wanayoyasema kila siku humu hata Mungu amekasirika na kuamua kuwanyamazisha, hili lina ushahidi wa wazi kwenye forum ya dini,sitotaja majina yao wasije wakanisomea 'itikafu' buree.Nitakuwa mnafiki(naamini na majority) kama nikisema hapa 'namuombea heri' Bw. Hasara baada ya ule ushenzi aliotufanyia last week-kuliko kuua JF ni bora afe yeye kwanza na kama ni yeye na withdraw maombi yangu.Ningependa kujua maombi yangu yanakwenda kwa nani.
 
Mwenyezi Mungu amjalie kupona haraka na awajaze moyo wa Ujasiri na upendo Ndugu pamoja na wale ambao wanamuuguza mganjwa huyo kwa sasa.
 
Jina ni muhimu jamani, kuna members hapa wanakera na kuudhi kila kukicha na wakati mwingine unatamani wasingekwepo kabisa na labda kwa yale wanayoyasema kila siku humu hata Mungu amekasirika na kuamua kuwanyamazisha, hili lina ushahidi wa wazi kwenye forum ya dini,sitotaja majina yao wasije wakanisomea 'itikafu' buree.Nitakuwa mnafiki(naamini na majority) kama nikisema hapa 'namuombea heri' Bw. Hasara baada ya ule ushenzi aliotufanyia last week-kuliko kuua JF ni bora afe yeye kwanza na kama ni yeye na withdraw maombi yangu.Ningependa kujua maombi yangu yanakwenda kwa nani.

actually ndugu hapo umeongea point moja ya kwelikwa dunia ya sasa...though maandiko yooote yanasema tusameheane sisi kwa sisi...

back to the main theme ya thread hii...namuombea ndugu yetu Felix na nina imani atapona soon na kurudi hapa kuendelea kushambulia vyema ufisadi wa li nji letu na kufight for maendeleo Tz
 
Pole sana ndg Felix, nakuombea kwa Mola upone haraka na urejee ktk hali yako ya mwanzo
 
habari si nzuri huko houston, mgonjwa amefariki. pole nyingi kwa familia!.
 
Bwana alitoa, bwana ametwaa. Tumshukuru kwa yote. Felix ameenda kutuandalia makao, nasi tunafuata!
 
Mungu Ampokee Mwenzetu N Aipumzishe Roho Yake Kwa Amani!!!!
 
TAARIFA YA MSIBA HOUSTON

Wananchi,


On behalf of the family and Tanzanians living in Houston,

I sadly announce the death of our brother Felix Chambi (aka Felix Makene).


Felix passed away on Thursday morning (24/1/08) after having a stroke on Monday night (21/1/08). Felix leaves behind his wife Maryam and young son Baraka. Condolences can be offered to Felix’s family at their home on8618 Rose Garden, Houston, TX, 77083.


You can also call: Maryam (wife) on 832 865 3366 or 314 369 2338

Alfred (brother) on 314 584 9708

Mchuma (sister) on 314 489 3248


The community of Tanzanians living in Houston is makingplans to transport Felix from Houston to Tanzania next week.


CONTRIBUTIONS:
As we all know, the costs of transporting Felix’s body from Houston to Tanzania will be high. We have estimated the total cost of this process to be $22,400. While any amount you donate will be greatly appreciated, we are recommending that Tanzanians living in Houston contribute around $100 each.


The Tanzanian Community in Houston will conduct a fund raiser on Saturday (1/26/08).
The fundraiser will begin at 4pm and will be held at:Safari Party Hall (Kwa Inno) 8951 Bissonnett, Houston TX 77036. Like always, men should bring drinks and women food to the fundraiser. Ladies can get in touch with Nuru Mazola and gentlemen with Alex Tibaigana for further information on our needs.


If all goes well, we plan to pay our last respects to Felix on Sunday (1/27/08).

You will receive more information on this as it becomesavailable.
If you have any questions please feel free to contact thepeople below.

Miraji Malewa 713 373 6525

Nuru Mazola 832 630 8090

Anita Massawe 832 721 3832

Rosemary Mlekwa 832 867 2140

Muddy Chamshama 713 203 4629

Jadi Malumbo 713 419 6803

Karim Faraji 713 702 9050
 
Jamaa zake wa karibu wameshauri litajwe jina lake halisi.Mdau anaitwa Felix Makene
Mkuu Mwawado,

Tangu 12th February 2008 hujaonekana JF, u-mzima kweli? Napata wasiwasi kwakuwa si kawaida yako. Pls keep us updated!

Invisible
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom