Tumuombee sana Mzee Butiku wa taasisi ya Mwalimu Nyerere

Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA.

Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati ya mazingira tuliyo nayo sasa... Maana kusema KWELI na kwa UWAZI kwasasa ni kujitafutia majanga makubwa
Amezungumza mambo makubwa na lawama na mshangao wake kaelekeza moja kwa moja kwa wahusika bila kificho wala kupepesa macho.

Mambo yale yangezungumzwa na sisi tunaoitwa wapinzani sidhani hata kama ile press Conference ingeisha

Pamoja na kutambulika na kuheshimika kwake mzee Butiku.. Pamoja na ulinzi alionao lakini tumuombee sana.

Kwa namna watu walivyochanganyikiwa huko ndani, kitendo cha kuwakosoa kwa namna ya mzee Butiku ni kujipalia makaa ya moto mkali na kutangaza uadui

Video hizi hapa za yote aliyonena mzee Bujiku... Tumuombee sana.

Soma Pia:
Hakuna wa kumgusa
 
Sioni sababu ya kuwa na hofu yoyote, Mzee Butiku ametumia haki yake kikatiba kutoa maoni yake, hajavunja sheria yoyote.

Akidhurika kwa vyovyote vile, wahusika watajulikana kirahisi sana hata kama huwa wanajiita wasiojulikana.
Hata
Rekebisha (edit) umemtaja mara mbili tatu kwa Jina la Bujiku badala ya Butiku.
Sawa tayari
Huyo ndiye mwana CCM pekee aliyebaki.
Na Mpina japo naye wameshaanza kumfuatilia
 
Direct ni ngumu ila kwa figisu wanaweza kufanya kitu
 
Ila huyu mzee na wenzake ndo waliweka misingi ya hovyo ya nchi hii ndo maana hadi leo tuko hapa. Enzi zao ndo walikuwa wanasema zidumu fikra za mwenyekiti. Huyu Mzee hana uhalali wowote wa kunyooshea mtu kidole. Angekuwa Mzee Mtei ingekubalika kwa sababu yeye toka enzi za mwalimu alikuwa mpinzani.
 
thread ya kinafiki sana.
Butiku huwa anaongea kwa context hizi kila anapoongea.tuache kupotosha umma.
 
Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA.

Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati ya mazingira tuliyo nayo sasa... Maana kusema KWELI na kwa UWAZI kwasasa ni kujitafutia majanga makubwa
Amezungumza mambo makubwa na lawama na mshangao wake kaelekeza moja kwa moja kwa wahusika bila kificho wala kupepesa macho.

Mambo yale yangezungumzwa na sisi tunaoitwa wapinzani sidhani hata kama ile press Conference ingeisha

Pamoja na kutambulika na kuheshimika kwake mzee Butiku.. Pamoja na ulinzi alionao lakini tumuombee sana.

Kwa namna watu walivyochanganyikiwa huko ndani, kitendo cha kuwakosoa kwa namna ya mzee Butiku ni kujipalia makaa ya moto mkali na kutangaza uadui

Video hizi hapa za yote aliyonena mzee Bujiku... Tumuombee sana.

Soma Pia:
ni muhimu zaid kuombeana kheri sisi kwa sisi, na kuiombea nchi yetu umoja, amani na utulivu daima bila kuchoka, bila chuki, ubinafsi wala manung'uniko 🐒
 
"Getekeeper"
 
Kweli, ili tuje kupata viongozi wenye hofu ya Mungu na wasiopenda kujilimbikizia mali.
 
na chaguzi za ndani ya vyama vya siasa zifanyike kwa amani sio kama haya yanatokea kwenye chama kinachoendelea na uchaguzi sasa hivi watu kuuana kwasabb ya uchu wa vyeo na madaraka ya chama tu dah 🐒
 
Sioni sababu ya kuwa na hofu yoyote, Mzee Butiku ametumia haki yake kikatiba kutoa maoni yake, hajavunja sheria yoyote.

Akidhurika kwa vyovyote vile, wahusika watajulikana kirahisi sana hata kama huwa wanajiita wasiojulikana.
Hata
Rekebisha (edit) umemtaja mara mbili tatu kwa Jina la Bujiku badala ya Butiku.
Sawa tayari
Huyo ndiye mwana CCM pekee aliyebaki.
Na Mpina japo naye wameshaanza kumfuatilia
Hakuna wa kumgusa
Firecg
thread ya kinafiki sana.
Butiku huwa anaongea kwa context hizi kila anapoongea.tuache kupotosha umma.
Kapiga kwenye mshono brother! Kaongea wengi walichoshindwa kuongeq
 
Sioni sababu ya kuwa na hofu yoyote, Mzee Butiku ametumia haki yake kikatiba kutoa maoni yake, hajavunja sheria yoyote.

Akidhurika kwa vyovyote vile, wahusika watajulikana kirahisi sana hata kama huwa wanajiita wasiojulikana.
Hata
Rekebisha (edit) umemtaja mara mbili tatu kwa Jina la Bujiku badala ya Butiku.
Sawa tayari
Huyo ndiye mwana CCM pekee aliyebaki.
Na Mpina japo naye wameshaanza kumfuatilia
Hakuna wa kumgusa
Firecg
thread ya kinafiki sana.
Butiku huwa anaongea kwa context hizi kila anapoongea.tuache kupotosha umma.
Kapiga kwenye mshono brother! Kaongea wengi walichoshindwa kuongea
Jamani yule Soka ameshapatikana??
Bado
 
Aogope nn? Wazee kama Butiku, Warioba hawaogopi kifo thus huwa hawatakagi unafki thus wanajilipua
 
Back
Top Bottom