Tumuombee sana Profesa J

Nasikia tango ni tunda moja zuri ya kusafisha figo.
mojawapo ya chakula nisichopenda kukila tangu nijaribu kuwa mkulima nikagundua namna linavyowekwa mbolea na kemikali na dawa, nikiliona sokoni hadi huwa nawaonea huruma. mnakula kemikali tu. walau kidogo nyanya kwasababu unamenya, ila tango na tikitimaji za kibongo, labda ulime mwenyewe, la sivyo zinakuzwa kwa madawa na mnakula madawa tu pale ambayo yanaweza kusababisha kansa. ujiulize kwaninikansa ni magonjwa ya mjini tu ambako vyakula hivyo vinauzwa (kijijini kununua tikiti au tango ni anasa ambayo hutakiwi kusikika ukiifanya), mjini ndo hasara zake.
 
Kemikali ni nini? Msosi wowote ule una kemikali. Zile kemikali zinasaidia ukuaji wa mmea tu haizdhuru mwili wa binadamu. HIVI UNAJUA DUNIANI HEWA YA OKSIJENI NDOGO KULIKO HEWA YA NITROGEN?
 
Kuna mwanangu mmoja mzee wake alikuwa na hilo tatizo la figo ila stage za mwanzo alivyoenda hospitalini moja ya ushauri alio ambiwa na madaktari ale matango.

Sasa kama ndio hivyo hivi kila chakula kina sumu, manake vyote tunavyokula kwa sisi wa mjini vinakuzwa na madawa,sasa tusaidie njia nyingine ya kusafisha figo.

Ila kuna matunda ni dawa nzuri mfano apple ni dawa nzuri ya kusafisha ini.
 
mbona kumtoa mbowe na wenzake huwa mnachanga, kwanini msichange kuokoa maisha ya ndugu huyu? fanyeni hivyo prof atachangiwa na vyama vyote kwasababu ni mstaarabu, hana matusi, mtu wa watu, ni tofauti kabisa na wanacdm wengi.
Sema tunachanga mkuu kwan ww ni Kibajaji nn?

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kweli aisee Kuna ndugu yangu mmoja alikua mfuatiliaji mzuri Sana wa masuala ya afya anakula vizuri mafuta hatumii ikibidi Sana kutumia mafuta anatumia ya alizeti tu pombe hanywi yaani kwa kifupi alikua anajali Sana afya yake kupitia chakula lakini bahati mbaya tulimpoteza kwa kansa.kwahiyo kifo ni fumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…